Serikali kulipia wizi wa Nyanza si rushwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali kulipia wizi wa Nyanza si rushwa?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kaa la Moto, Aug 27, 2010.

 1. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Wakati akiwa Mwanza kwenye kampeini za Chama chake Jakaya Kikwete alitoa ahadi ya Serikali yake kulipia pesa za nyanza zilizoibiwa karibu sh bilioni 5.

  Je kwa sheria za uchaguzi hili haliwezi kuingia kwenye rushwa?
   
Loading...