Serikali kukimbilia mahakamani ili kunyima watu ni sawa

mukama talemwa

Senior Member
Jun 14, 2011
160
28
Ninilisikitishwa saana na Serikali ya Tanzania kuwazuia ma dr kuadamana kisa kesi hiko mahakamani.Na jana nimesikitishwa zaidi na kauli ya Serikali kuhusu mgomo wa walimu kwa kusema kuwa ni batili kisa eti kesi hiko mahakamani.Hivi jamani hii serikali yetu kuzuia hoja nyingi za msingi kujadiliwa Bungeni na kuzuia watu kudai haki zao kwanjia ya maandamano kwa kukimbilia mahakamani nini tafsiri yake maana sasa imekuwa kaida.Wataalamu wa sheria tusaidieni tutumie njia gani ili tudai haki zetu.
 
Mtoto wa kiume hupigana, hakimbilii kwenda kuchongea kwa mama.
Mtoto legelege mwenye udada ndani yake ndio akiguswa kidogo tu hukimbia kushtaki kwa mama.
CCM na serikali yake dhaifu ni legelege
 
JAJI kateuliwa na RAIS, unadhani kuna nini hapo? yaleyale ya watu kuficha akili zao mfukoni kwa kunyenyekea vyeo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom