Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,234
Serikali kupitia Mwanasheria mkuu wa Serikali imepeleka notice mahakamani ya kukata rufaa Mahakama ya Rufani dhidi ya uamuzi wa Mahakama kuu uliotangaza sheria inayozuia watuhumiwa wa uhujumu uchumi kupewa dhamana kuwa kinyume cha katiba.
Mapema leo tarehe 18/05/2020 Mahakama kuu masijala ya Dar es Salaam ilikitangaza kifungu cha 148(5) cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai kuwa kjnakinzana na Katiba na kuipa Serikali miezi 18 ya kukifanyia marekebisho.
Soma pia
Mahakama Kuu: Sheria inayozuia watuhumiwa kupewa dhamana ni batili na kinyume cha Katiba - JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app