Serikali kujenga magereza 39 mapya; sasa kila wilaya itakuwa na gereza lake

Duuuuuuuu! Haya magareza mbona yananitisha vile? Inamana ndo wanataka kutimiza ule msemo wa CCM daima? Ina maana ndo maandalizi ya 2015? Duuuuu ila haina noma kama kura tutalinda tu mpaka kieleweke maana ni heri vita inayotafuta usawa kuliko amani inayopumbaza.
 
Back
Top Bottom