Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,019
- 21,913
Wizara ya Maliasili na Utalii imeanza mkakati wa kujenga Makumbusho kubwa Jijini Dodoma ya marais wa Tanzania kwa lengo la kuhifadhi Urithi adhimu wa mchango Mkubwa walioutoa na unaoendelea kutolewa.
Waziri wa Maliasili na Utalii nchini Balozi Dkt Pindi Chana amesema kuwa ujenzi wa Makumbusho hiyo unaenda sambamba na adhma ya Serikali ya kuiendeleza Dodoma kama Makao Makuu ya Serikali.
Chanzo: east Africa radio.