Eliphaz the Temanite
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 3,018
- 1,147
unataka wananchi waendeleee kupangwa kama dagaaa kwenye vipannya na hiyo midaladala isiyo na viwango
Nimesikitishwa na uhamuzi wa Mh Mwakyembe.
wa kuanzisha usafiri wa trani jijini Dar es Salaam;
1. Hii ni serikali kuanza ukiritimba wa kufanya biashara ambayo ilishindwa toka kipindi kile.tunarudi socialism
2. Ni uhamuzi wa kisiasa zaidi badala ya kitaalamu (zima moto)
3.Kunenepesha matumbo ya watu fulani wkt wa tenda ya kusafirisha ; tunarudi kwenye MATATIZO YA UDA
4. Kuna watu wanamikopo ya biashara ya Daladala kwenye mabenki ; sijui watailipaje kutokana na kupato kupungua na abiria wenye kukimbilia usafiri wa trani.
5. Foleni inasababishwa na magari binafsi sio DALADALA; Sijui hizo takwimu wamezitoa wapi. wangetakiwa kufungu mageti ya kuingilia mjini kwa kucharge gari binafsi shillingi 5000; ili kudiscourage foleni.
6.Biashara ya mafuta itaongezeka kwa kuiba ya kwenye trani km tunavyo shuhudia
Nimerudia taarifa yako mara zaidi ya tatu na sijaona hoja yako ya msingi ni nini. Mdau unayependelea kuendelea kuwachuna watanzania wenzako wenye kipato cha chini kwa kuwatoza minauli yenu ya ajabuajabu, jioni mnakata route kama mtakavyo,huku makonda wenu wachafu suruali zao zikiacha makalio nje! Tumechoka picha mbofumbofu! Ngoja zije hizo treni ili mboreshe huduma zenu.
acha ushamba ; UNIFORM uzioni au ujapanda daladala za mwenge; kukatiza route ulireport SUMATRA wakashidwa kuwaadhibu ; mara ngapi wanahadhibiwa kwa faini za juu; Mlegee na usafiri , watafutieni walaji . mnaingizwa KING Mnaona hivivi .. PEVUKENI KIAKILI ONANENI MBALI
Tumia akili na wewe, kuna mtu alikumbia ununue daladala. Hizo daladala zako peleka Kibiti

4. Kuna watu wanamikopo ya biashara ya Daladala kwenye mabenki ; sijui watailipaje kutokana na kupato kupungua na abiria wenye kukimbilia usafiri wa ]trani.
5. Foleni inasababishwa na magari binafsi sio DALADALA; Sijui hizo takwimu wamezitoa wapi. wangetakiwa kufungu mageti ya kuingilia mjini kwa kucharge gari binafsi shillingi 5000; ili kudiscourage foleni.
6.Biashara ya mafuta itaongezeka kwa kuiba ya kwenye trani km tunavyo shuhudia
acha ushamba ; UNIFORM uzioni au ujapanda daladala za mwenge; kukatiza route ulireport SUMATRA wakashidwa kuwaadhibu ; mara ngapi wanahadhibiwa kwa faini za juu; Mlegee na usafiri , watafutieni walaji . mnaingizwa KING Mnaona hivivi .. PEVUKENI KIAKILI ONANENI MBALI
sasa ndugu yangu hivi wewe unategemea kila siku waswahili wenzako waendelee kuumizwa na maisha kisa wewe unapata? naogopa kuandika nilichotamka kwenye akili yangu ila kwa lugha rahisi sana naweza kuzema think Big.
kwanza biashara ya daladala ni biashara ya wavivu wasiopenda kujiongeza.
wasiowezeka kutake risk kwenye biashara nyingine.
(keep in mind that some people can be fool some time but not all the time)
aliyekutuma mwambie hili wadanganyika wamestuka!