Massenberg
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 1,173
- 1,370
Hivi katika flyovers ile ya Tazara seriously unaweza kuihesabu? Ile itakuwa junction ambayo inapitisha barabara moja tu juu, ya mjini-uwanja wa ndege, zingine zote pale ni mchezo wa taa kama sasa tu.Kuna vitu kaachieve tayari, elimu bure, kila mwanafunzi atakaa kwenye dawati very soon, kinyerezi 2 inajengwa, project ya flyover inaanza soon, SG railway inaanza soon. Ukitazama bila ushabiki utaona mengi sana.