Nashauri TCU na Serikali kwa ujumla itoe upendeleo wa pekee katika vyuo hivi vya Dodoma kama UDOM, St. John na CBE viwe na course nyingi ili watumishi wa umma na wengine waweze kusoma evening programmes.
Pia vipewe wanafunzi wengi ili wenzi wa watumishi wa umma na watu wengine wapate ajira katika vyuo hivyo. We need to change according to the needs of time.
Hapa kazi tu!
Pia vipewe wanafunzi wengi ili wenzi wa watumishi wa umma na watu wengine wapate ajira katika vyuo hivyo. We need to change according to the needs of time.
Hapa kazi tu!