SERIKALI KUHAKIKI MAENEO YA WAVAMIZI WA MASHAMBA NI KUWALINDA WAVAMIZI?

Jan 1, 2016
80
12
Mkuu Wa Wilaya ya Kinondoni Kwa kushirikiana Na Mkurugenzi Wa Manispaa ya Kinondoni wamekuwa wanaendesha zoezi la kuhakiki maeneo ya watu waliovamia mashamba ya watu huko Goba.Zoezi hilo ndilo lililopelekea Mkuu Wa wilaya akawaweka ndani watumishi Wa Ardhi Kinondoni.Nashindwa kupata tafsiri ya kuhakiki maeneo ya wavamizi nilitarajia kuona kuwa wavamizi wametenda kosa la kuvamia Na Serikali ilipaswa kuwatoa hata Kwa kutumia vyombo vya dola.Kitendo cha kuhakiki kinaonyesha kuwa serikali imebariki uvamizi huo.Nampongeza Mkuu Wa Mkoa Wa DSM Mh.Mecky Sadik Kwa kuwafukuza wavamizi Wa Shamba la Mh.Sumaye.Wakati umefika Kwa serikali kukomesha tabia ya watu wachache kuchukua Sheria mikononi ya kuvamia maeneo ya watu.
 
Back
Top Bottom