Serikali kugawa chakula cha msaada kwa waliopata Mafuriko Mwanza. Je, sasa Serikali ina shamba?

Bukoba kazi kwenu, mikoa nyingine kazi kwenu.[/QUOTE
Swali hili limejaa UCHOCHEZI.
Ni JUKUMU la serikali yeyote DUNIANI KUJALI wananchi wake na KUTOA MSAADA wowote bila kujali jeografia,ITIKADI ama MIKEMUKO ya kisiasa nk.

Hivyo ni HAKI ya hao waathirika kupata MISAADA YEYOTE toka serikalini.
JAMANI, hatuweza kuijenga Tanzania tukiwa na mawazo FINYU ya KIKANDA kama haya.
 
Back
Top Bottom