YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,910
- 51,904
Kwani wachimbaji wadogo hawana dhamana? Kifupi unaongelea mifumo ya kibenki ya kizamani iliyojaa maafisa wa benki wasio na elimu za madini wanaojua dhamana ni nyumba nk .Nenda mabenki ya nje wana Hadi ma CEO wa benki engineers.Mfano unakuta benki ikiona faida kubwa itapatikana kwenye mikopo ya ujenzi unakuta ina ma loan officers wenye taaluma za ujenzi na uhandisi kibao .Ukiajiri loan officer mwenye degree ya business administration mradi wa mgodi atatoa mapendekezo gani Kama sio kuongelea vitu hewa tu Kama hivi vyako.Sababu hajui content za hiyo mine ,nkBenki inaangalia production pia siyo soko tu. Pia benki hazitambui mineral right kama dhamana hivyo inatakiwa uwe na vitu vingine vya kuweka zamana
Sent using Jamii Forums mobile app