Serikali kuendelea kubana matumizi

Ashura9

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
740
485
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. PHILIP MPANGO amesema serikali inaendelea na mpango wake wa kubana matumizi katika taasisi na idara mbalimbali ili kuhakikisha matumizi halisi ya fedha
image.php

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. PHILIP MPANGO


Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. PHILIP MPANGO amesema serikali inaendelea na mpango wake wa kubana matumizi katika taasisi na idara mbalimbali ili kuhakikisha matumizi halisi ya fedha.

Waziri MPANGO, ameyasema hayo mjini DODOMA katika mahojiano maalum na TBC wakati wa kipindi cha JAMBO TANZANIA ambapo amesema serikali haitakaa kimya kushuhudia wananchi wakinyonywa kutokana na matumizi ya fedha yasiyostahili.



Chanzo: Serikali kuendelea kubana matumizi - TBC.go.tz
 
Back
Top Bottom