Serikali Kuchukua Hisa Kwenye Migodi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali Kuchukua Hisa Kwenye Migodi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakalende, Aug 11, 2009.

 1. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2009
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Hii habari nimeikuta Reuters, wakati migodi mingine kama Tulawaka imefungwa hii iatkuwa sawa na kukumbuka shuka asubuhi.

  Kwa habari zaidi Kong'oli Hapa
   
 2. J

  JokaKuu Platinum Member

  #2
  Aug 11, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,791
  Likes Received: 5,051
  Trophy Points: 280
  ..hivi ni kweli kwamba kamati ya Bomani imekuja na mapendekezo kwamba royalty iongezwe toka 3% mpaka 5%?

  ..hivi muda wote na mapesa yote waliyotumia that is all they could come up with.

  ..shame on these ppl. nilitegemea watakuja na suggestions za jinsi gani tutachimba haya madini sisi wenyewe[SERIKALI], badala yake wanatuletea hadithi ya 5% royalty.
   
 3. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Jokakuu:

  Waacheni wachimba, hatuna ubavu. Lakini matumizi yetu ya mapato ndio yatako-determine zaidi maendeleo yetu.
   
 4. K

  Keil JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2009
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135

  Kulingana na maelezo ya Mh. Zitto, alisema kwamba katika utafiti kwa nyingi karibu zote za Afrika royalty huwa ni 5% na hiyo ni maximum.

  Sasa ili nchi nayo iweze kufaidika na madini hayo ndipo ilipokuja proposal kwamba Kampuni zote ambazo zitakuja kuchimba madini zikubali kuchimba kwa ubia, ama nusu kwa nusu (50/50) au (51/49). Wakasema nchi kama Botswana ndivyo wanavyofanya kwenye madini yao na wamekuwa wakifaidika nayo na sio kama sisi ilivyo.

  Nilisikia maelezo hayo siku moja kulikuwa na debate kwenye runinga, nadhani Zitto mwenyewe anaweza kunirekebisha kama kuna mahali nilimsikia vibaya.

  Swali la kujiuliza kwanini iwe 5% na siyo zaidi? Na je kama serikali haitaki hisa kwenye hiyo migodi inaweza kuongeza percent ya mrahaba?
   
 5. J

  JokaKuu Platinum Member

  #5
  Aug 11, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,791
  Likes Received: 5,051
  Trophy Points: 280
  Keil,

  ..binafsi najiuliza ikiwa tumeshabaini kwamba 3% royalty ni hasara tupu, hivi 5% inaweza kubadilisha kweli hali yetu na kutuletea faida?

  ..hii Tume ilipaswa kuja na mapendekezo ya jinsi ambavyo serikali itachimba madini na zaidi uanzishwaji wa mineral processing industry nchini petu.
   
 6. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  ujinga mtupu
   
 7. Zitto

  Zitto MP Kigoma Urban

  #7
  Aug 11, 2009
  Joined: Mar 2, 2007
  Messages: 1,197
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Royalty is a special levy on exploitation of the resource. It is a payment to the exploitation of the resource and is normally not considered as a tax in its own. It is wrong to define the benefits of the mining sector to Royalty alone. There are other numerous taxes of more significant.

  - Bomani committee recommended two things on royalty. One is the increment to 5% from 3% and two is the change on the formula to calculate royalty. Currently royalty is calculated based on Net-Back Value (price of metal at London Metal Market minus costs of transport, insurance and refinery). This formula is a disadvantage to Tanzania as we do have a control on those costs. So Bomani report recommended the Gross value approach. These are very significant changes to the regime on royalty and it will quadruple the royalty we get based on current production and prices.
  There is no country in world charging royalty of 15%. Other countries do not charge royalty at all (eg South Africa).
  - Bomani report recommended changes to Income tax act to enable mining companies pay corporate tax, which they dont pay now due to the ammendment passed in 1997 by Parliament to offer mining companies 15% allowance on their unredeemed capital expenditure. This has costed the country USD 883m taxable income and its effect is compounded. A good example is Bulyanhulu mine, the first mine under new law, which as the result of this law will start paying corporate tax in 2019! Bomani report has recommended an ammendment such that it starts retrospectively.
  - Bomani report has recommended for ring fencing for tax purposes. Mining companies has a habit of including exploration costs on other projects to operational costs of running mines. This in tax principles is wrong. Tax is applied to an income and its coresponding expenditure. A good example in our country in Buzwagi and Tulawaka mines owned by one company Pangea minerals. The costs of building Buzwagi were included in Tuwalaka and hence reduce the taxability of Tulawaka. As a result, Buzwagi was built by money to be paid as tax from Tulawaka (USD 250M). Bomani report asks for Ring-fencing to ensure we get all the taxes.
  - Bomani recommended for greater linakges between mining sector and other sectors of the economy. Our emphasis was also on linkage between Mining sector and electricity sub-sector. Mining companies are producing on their own 45MW of electricity and through that Tanzania gave tax exemptions totalling USD 191m for the last three years on imported fuel. If these mines were connected to national grid TANESCO would have enjoyed economies of scale, get profit and supply cheaper power to the people. Moreover mines wouldnt import fuel and 'dodge' fuel taxes even to fuel their cars!

  These are some of the significant changes Bomani recommended. The report is a public document (the first ever report on mining to be open to parliament and public). Go policy Forum website for a simplified version of the report. It is a good read. I am proud to be part of the team under Mzee Bomani.
   
 8. M

  Mzee2000 JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2009
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 491
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Sasa hiyo ripoti ilishauri kuanzishwa kwa viwanda vya kuprocess hayo madini? Je serikari imeshafikiria au ina mpango wa kufanya processsing hapahapa nchini?

  Nauliza hivyo kwa sababu nchi haiwezi kupata maximum benefit ya madini kama wageni wanachimba tu na kuodoka. Huu ndio ukweli bwana Zitto, tukiongeza value kwenye madini yetu, tunaongeza ujuzi, na ajira kwa watanzania.

  Je ripoti ililizungumzia hili?
   
 9. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #9
  Aug 12, 2009
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mzee si umeambiwa kuwa report iko kwenye public domain! why don't you go retrieve it and read for your self?
   
 10. Mnyisunura

  Mnyisunura Member

  #10
  Aug 12, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 69
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Jamani hili suala la Royality tuwe makini sana katika kulijadili! Huwezi sema royality iwe 20%. Hakuna kitu kama hicho duniani!
  Maximum royality ni 5% na hasa inategemea na aina ya madini unayochimba na yamekuwa processed kiasi gani! Nimejaribu kuatatch paper moja hapo inayohusu royality kwa wale wenye interest mnaweza kusoma ili mpate atleast ya what is royality!
  Kwa uelewa wangu mdogo kuhusu Mineral Economics! Sera nzuri za kuwabana kwenye tax itatusaidia sana na si kutegemea Royality! After all Royality hutolwa (in compasation to mining) yaani badala hayo madini yaliyochimbwa yaje yasaidie vizazi vya baadaye ambavyo vimekuta madini yamechimbwa lakini yamefanya kitu flani (i.e kujenga shule, barabara nk) kutokana na pre-orities zilizopo. Mategemeo zaidi wanaotakiwa kupata faida ni wale wa lile eneo ambalo madini yanachimbwa (local people). Taifa kwa ujumla hupata faida kutokana na kodi!

  Jambo jingine kuhusu kufaidi uchimbaji ni hili la share! Kama serikali imeamua kuwa na share that might help if so the stratergy in in hand isiwe kama ile ya akina Mwadui na Kiwira! Lakini for the best of my knowlegde kama tunataka kupata faida hasa katika sector ya madini we have to work hard in terms of total investiment! Yaani kwa sasa watu hawajui oportunity zilizopo kwenye hiyo sector kiasi kwamba mambo mengi yameshikiliwa na wageni. Nitata mfano!
  Kwenye mining kuna non-mining activities na mining activities zinaendelea ambazo ni opportunity nzuri sana kwa watu kuinvest. Vitu kama kusupply explosive, chakula, madawa, safetry gears, Usafi na ulinzi vimechukuliwa na wageni! Na ni kwa sababu kwanza bado watu hawajajua hiyo opportunity au wanajua lakini competence na trust haipo. Ikumbukwe kuwa Mining ni Pressured busness duniani kote kwa hiyo ili uweze kuaminiwa inabidi uoneshe kuwa unaweza othewise yale mambo ya kibongobongo ya you know hawana! Just highlights of what is going on in Mining.
  Binafsi naamini kuna mambo ambayo yanatokana na serikali na sera mbovu na mengine yanasababishwa na investors. Ikumbukwe Mining bado haijatulia sehem nyingi. Juzi tu Canada (Ontario) walikuwa wanarekebisha sheria zao hasa ya ardhi (katika sector ya mining) ili iweze kuwasaidia hata natives which means nao ilikuwa bado mpaka sasa! Sheria iliyokuwepo ilikuwa gandamizi. So we still have long way to go ukiacha ya kupata competent people in mineral sector ambao watabishana na wawawekezaji!
   

  Attached Files:

 11. Mnyisunura

  Mnyisunura Member

  #11
  Aug 12, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 69
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  This is what i understand mh. Zitto. In fact Royality should not be a big deal to fight is we need to get the most from the Mineral Industry.
  And thses cheating which are being done by the Mining Company should looked at! Telling me that payback period is 30 years is not acceptable. Bulyanhulu started in 1999 something like tha. Then they tell us they will start paying tax in 2019! To the best of my knowledge, very few company which can invest in a deposit with such long -payback period, unless otherwise proven the deposit is worth more tha 50 years and proven to be open! Otherwise there must be something wrong somewhere!

  Another thing which i think is very important if we are to get the most from the Mineral Industry. There is a need to have independent Auditor of mineral resource vaiability. I understand we currently don't don't have standard disclosure policy for Mineral Projects. This makes most of the mineral deposits are wrongly reported since no policy guidelines. However if we could have policy and have government agent competent in Mineral Reserve estimation (Siyo hao waliosoma hawana hata experience na hawajui hata current knowledge in resource estimation) we could at least tight these people.
  Currently they are using our very weak to harvest our resources!
   
Loading...