Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Kule mbona ni wazi sana kuwa ni MkulimaMtueleze ukweli kuhusu safari za Africa kusini
Kule mbona ni wazi sana kuwa ni MkulimaMtueleze ukweli kuhusu safari za Africa kusini
Naona umenunaHuduma hiyo inaitwa "frequent flyer" kimombo.
Ni huduma inayotumika kwenye mashirika mengine ya ndege kwa miaka mingi sasa. Ni njia mojawapo ya kulinda wateja wenu wanaosafiri sana kwa ndege zenu wasihamie mashirika mengine. Msafiri akishaingizwa kwenye huduma hiyo basi kuna mambo fulani anafaidika nayo.
Mfano kuna mashirika unaweza kupewa upgrade ya tiketi yako kutoka daraja la kawaida kwenda daraja la biashara. Au kupatiwa hotel kwa punguzo la bei. Au kupatiwa tiketi ya bure kila safari kadhaa.
Ni mengi tu, inategemea na ubunifu wa kila shirika.
Dunia ya sasa ni dunia ya ushindani.
"The fittest of the fittest shall survive" - Bob Marley.
Hongera kwa kuliona hilo kutoka kwa huyo mpenda kukosoaShikamoo
akishaimgizwa = akishaingizwa
anafaidoka = anafaidika
uogtade = upgrade
kuroka = kutoka
kaqaida = kawaida
kuopatiwa = kupatiwa
Punguza ugoro bibi, Jumapili njema
Kwenye taarifa hii ulimbukeni wangu ni upi ? maana nimenukuu vile Katibu Mkuu alivyoeleza , hayo mnayoeleza nyinyi mh hakuyasema , sasa kuuliza imekuwaje kosa ?Kumbe wewe Erythrocyte kelele zako ni kwenye keyboard tu lakini wewe ni bonge la limbukeni!
Katibu Mkuu hakuyasema hayo lakinini kawaida kwa wateja wazoefu kupata discount hata kwenye maduka makubwa lipo hilo
Sawa ila kashafukuza mashirika mengine kama fastjet, kwahiyo anashindana na nani? Wateja wote niwakwake ila hawapandi why? hapo ndo ujue uchumu mbovu disposable income kwa watumishi na wafanya biashara imeshuka sana kuona kwamba kupanda ndege kuenda mkoani ni luxury
Ninunie nini? Unanchekesha.Naona umenuna
Ninunie nini? Unanchekesha.
Shikamoo
akishaimgizwa = akishaingizwa
anafaidoka = anafaidika
uogtade = upgrade
kuroka = kutoka
kaqaida = kawaida
kuopatiwa = kupatiwa
Punguza ugoro bibi, Jumapili njema
Umesahau na hiliShikamoo
akishaimgizwa = akishaingizwa
anafaidoka = anafaidika
uogtade = upgrade
kuroka = kutoka
kaqaida = kawaida
kuopatiwa = kupatiwa
Punguza ugoro bibi, Jumapili njema
Wenzako walivyokuwa wanazitumia simu hizo na kukosea kama ulivyofanya, bado unawaambia " shule mnaenda kusomea ujinga"? Je. Uko tayari kuwaomba radhi kwa kauli yako hiyo ya kiuonevu?!Ahsante, nimerekebisha.
Simu ya Kichina hii bado inajifunza Kiswahili na Kiingereza.
View attachment 1246044
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dr Leonard Chamuriho wakati wa Sherehe ya Mapokezi ya ndege mpya Jijini Dar es salaam .
Bado haijafahamika huduma za ziada zitakazotolewa nje ya zile zinazofahamika kwenye ndege zitakuwa huduma gani na zenye lengo gani .
ndio tukubaliane sasa kwamba hata wachina nao walianza kusomea ujinga.Ahsante, nimerekebisha.
Simu ya Kichina hii bado inajifunza Kiswahili na Kiingereza.
Kwani ulishatoroka Tanzania??Yup.
Call them sky miles, frequent flyer miles, etc.
Ni loyalty program.
Now let me go back and check how many sky miles I have with Delta Air Lines....
Huduma hiyo inaitwa "frequent flyer" kimombo.