Ole
JF-Expert Member
- Dec 16, 2006
- 2,157
- 975
Serikali na biashara wapi na wapi?
Hapa na pale.
Serikali na biashara wapi na wapi?
I will do check my Fly Blue Membership with KLM Royal Dutch Airlines too, lol.Yup.
Call them sky miles, frequent flyer miles, etc.
Ni loyalty program.
Now let me go back and check how many sky miles I have with Delta Air Lines....
Huyo si Dr Chamuriho.View attachment 1246044
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dr Leonard Chamuriho wakati wa Sherehe ya Mapokezi ya ndege mpya Jijini Dar es salaam .
Bado haijafahamika huduma za ziada zitakazotolewa nje ya zile zinazofahamika kwenye ndege zitakuwa huduma gani na zenye lengo gani .
Wafanye wawezavyo, hata ikiwezekana kutupeleka majumbani wateja wao.
Swali langu, kwa wajuvi wa haya ma ndege humu. Ikiwa serikali imekodisha hizi ndege kwa ATCL, hawa wanalipa serikali gharama za kukodishiwa na matengenezo, au wanalipia ukodishaji pekee halafu matengenezo ni kwa mwenye ndege zake?!
Kwenye taarifa hii ulimbukeni wangu ni upi ? maana nimenukuu vile Katibu Mkuu alivyoeleza , hayo mnayoeleza nyinyi mh hakuyasema , sasa kuuliza imekuwaje kosa ?
Nihangaike mimi? Umesoma nilichoandika?Usihangaike sana unapewa ''air miles'' Ukifikisha kiwango flani, unapata ticket au unapewa ticket kwa discount price - asilimia hupangwa na shirika husika mfano 40% au 80% pungufu nk.
Ops ''huko shule mnaendaga kusomea nini?"
Nihangaike mimi? Umesoma nilichoandika?
Uliyoandika wewe ni mojawapo tu ya options kijana. Kila shirika lenye mpango wa "frequent flyer" lina "options" zake na hayapo "uniform".
Nimeanza kuruka na madege haya bado hujazaliwa.
Sasa hizi ni kodi ?! Au faida kama walivyoiita?! Kwani waliingia ubia au mmiliki ni serikali na wao wamekodishiwa tu kama ambavyo wangeamua kumkodisha fastjet au shirika lolote lile?!Nilisikia jana kwamba tangu wameanza wameweka kwenye account ya Serikali USD 15 million nafikiri hiyo ndio faida waliyoipata so far.
Hahaha unaweza kuta ni mzee mwenzio, nendeni taratibu mtaelewana tu.Nihangaike mimi? Umesoma nilichoandika?
Uliyoandika wewe ni mojawapo tu ya options kijana. Kila shirika lenye mpango wa "frequent flyer" lina "options" zake na hayapo "uniform".
Nimeanza kuruka na madege haya bado hujazaliwa.
Sasa hizi ni kodi ?! Au faida kama walivyoiita?! Kwani waliingia ubia au mmiliki ni serikali na wao wamekodishiwa tu kama ambavyo wangeamua kumkodisha fastjet au shirika lolote lile?!
Faida ya ATCL inaihusu nini serikali kama imemkodishia ndege kwa ujira?!
Mi nilidhani serikali ingejikita kudai kodi yake tu, why ianze kumchunguza uliyemkodishia ndege kufanya biashara?!
Wacha tulinganishe miaka, mimi sasa nina wajukuu umri wangu miaka 78. Je yeye ana miaka mingapi? Patamu hapo!Hahaha unaweza kuta ni mzee mwenzio, nendeni taratibu mtaelewana tu.
Hahaha wapi nimeinga?! Ebu soma vizuri uone kama kuna kilichopingwa humo.Mkuu ulifuatilia kwa nini serikali ilifanya hivyo? Air Tanzania haiwezi kununua ndege kwa sababu walizokuwa nazo zilifilisika enzi ya Mkapa na JK. Kwa hiyo ulikuwa unataka na hizi zipotee kimiujiza? Mwacheni JPM afanye anavyotaka maana ndio alipewa dhamana ya kuongoza nchi, majibu 2020 kwenye uchaguzi kama wewe hupendi.
Nendeni PM, huku mtaharibuWacha tulinganishe miaka, mimi sasa nina wajukuu umri wangu miaka 78. Je yeye ana miaka mingapi? Patamu hapo!
Nendeni PM, huku mtaharibu
Nami natania tuDon't take it too serious, just joking.
Wacha uongo mimi nina umri mkubwa kuliko wewe. Halafu mimi nimeanza kupanda hizi ndege nikiwa na umri wa miaka 5.
Ha ha ha...Shikamoo
akishaimgizwa = akishaingizwa
anafaidoka = anafaidika
uogtade = upgrade
kuroka = kutoka
kaqaida = kawaida
kuopatiwa = kupatiwa
Punguza ugoro bibi, Jumapili njema
Duh leo umemkamata kibibi fimbo cheza haaaaaaaShikamoo
akishaimgizwa = akishaingizwa
anafaidoka = anafaidika
uogtade = upgrade
kuroka = kutoka
kaqaida = kawaida
kuopatiwa = kupatiwa
Punguza ugoro bibi, Jumapili njema