Serikali: Kilichompata Dkt. Sospeter Bulugu kilitokana na kushuka kwa Sukari, na siyo madhara ya chanjo

Ujinga ni mzigo mzito sana. Unataka watu waendelee kuchukuwa video ya mtu mgonjwa? Hili uliliona wapi duniani? Huoni hata wachezaji wa mpira wanapopatwa na jambo la ghafla kama kuanguka kamera zote zinaacha kurekodi tukio. Anyways vitu vingine huwezi kuvielewa bila kustaarabika.
We matakoo umesikia walichokuwa wanasema baada ya video kuzibwa kuwa siri ifichwe
 
Majibu gani tena unaongojea na nusu ya population ya dunia imeshachanjwa? I mean mko dunia gani nyie watu. Ni mtu mzima na akili zake amejifungia ndani akisubiri madhara ya chanjo ili aonekane ana akili! Du kweli ujinga mzigo. Misukule ya Magufuli mnatafuta vitu vidogo vidogo ili mpate sababu ya kukata mauno!
Covid inabadilika badilika chanjo ya hakika bado sana ndiyo maana magu alitaka kusikimbilie chanjo za kijeshi una apa kwanza kufa au kupona
 
Watanzania shida sana; hivi ni wangapi waliochanja halafu wakapatwa na hali hiyo? Mbona tunao wengi tu huku mtaani wamechanjwa na hawana matatizo yeyote...tuacheni uzushi usio na maana..
Tatizo ni viongozi umesikia hiyo video wakikusudia kula njama dhidi ya taifa kama walivyo fanya wayahudi juu ya yesu
 
View attachment 1890558View attachment 1890559

wanazungusha ile video kupotosha kwa malengo yao binafsi ni wachawi wakubwa,
Kama hujawahi kufanya kazi serikalini,kaa kimya. We ulitaka watoke hadharani wakiri kuwa alikua amechanjwa?
Husikii kuwa hiyo ni kampeni ya nchi nzima so hiyo habari isitoke hewani?
Ulitaka wamchukue nani akanushe kuwa siyo madhara ya chanjo zaidi ya aliyehusika na tukio?
Pia ulitegemea muhusika akanushe ilihali keshakubali kuwa upande wa wanao chanjwa?

Na kampeni yoyote lazima iwe na wanaokubali na wanaokataa. Sioni sababu ya kumuadhibu au kumtukana asiyetaka chanjo.
Madhali ishakua ni hiari,waache watu waamua. Ila kama kuna ajenda ya siri nyuma ya chanjo,wakubali pia na matokeo yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2699115_90876541.jpg

Sijui tulilaaniwa na nani?
 
kama hujawai kufanya kazi serikalini kaa kimya😀😀😀😀 umetisha mwamba umeonyesha ni kiasi kipi ulivyo kilaza
 
Back
Top Bottom