Serikali kama polisi,yachakachua ripoti ya mauaji ya polisi arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali kama polisi,yachakachua ripoti ya mauaji ya polisi arusha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwan mpambanaji, Jan 24, 2011.

 1. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Katika hali ya kuchanganyikiwa serikali imezidi kuhaha katika kujaribu kuudanganya ulimwengu kuhusu mauaji ya raia yaliyofanywa na polisi jijini arusha
  serikali mkoani arusha Iliwaagiza maofisa watendaji pamoja na wenyeviti wa mitaa kuwahoji wananch madhara ya tukio zima la tarehe nane,na nani alihusika,katika mikutano hiyo hakuna mwananchi aliyejitokeza,na kwa baadhi ya kata wakijitokeza wachache,lengo la mikutano hiyo ni kuandaa ripoti iliyochakachuliwa inayoonyesha kuwa chadema walihusika na mauaji ya raia hivyo kukipunguzia umaarufu chama hicho,siku yoyote kuanzia kesho ripoti hiyo itatoka,,,,,,,,,
  serikali hii imekosa uhalali wa kutawala,,,
  mapambano yanaendelea
   
 2. k

  kayumba JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Subiri kwanza ripoti hiyo itoke kwanza!
   
 3. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  intelijensia yetu imeyanasa haya
   
 4. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #4
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Data please!..
   
 5. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #5
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Wewe na nani?
   
 6. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  IGP kivuli?
   
 7. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Where the Hell is Chademas CD??????!!!!!!!!.............
   
Loading...