Inawezekana kuwa huu ni zaidi ya usanii, yaani mazingaombwe. Yaani unajiuliza hadi unawehuka.Niliskia wametenga milioni 70 eti kukikarabati na huku kujenga vipya wametenga mabilioni ya pesa. Wamesahau ile nahau isemayo FIMBO YA MBALI HAIUI NYOKA. badala ya kufufua ambavyo vinajivuta wanataka kuwekeza vipya.
Watu hawana afya njema wala chakula watazalisha vipi?Hakuna industrial revolution without agricultural and social revolution,never!!
umeongea issue ni wazi kuwa ndio ukweli ila bado kuna baadhi ya watu haswa vijana wa lumumba naona wametoa maneno ya ajab na pia nahis yatakuja zaidi,kiuhalisia hakuna nchi inaweza kuanza na mapinduz ya viwanda then ya kilimo yafate maana inputs za viwanda lazma zitoke katika kilimo...ndio maana lowasa alisema 1.elimu,2.elimu,3.elimuJamani kulingana na kichwa cha habari hapo juu,
Tafadhali serikali naomba mfanye mapinduzi ya kilimo kwani ya viwanda yametushinda kutokana na uhitaji mkubwa wa gharama za manunuzi ya machine, mitaji pamoja na changamoto nyingine lukuki.
Naomba tufanye kilimo kwani tukifanya mapinduzi ya kilimo ni rahisi pia kupata wawekezaji wa viwanda. Nguvu kazi ya vijana tunayo ya kutosha tena imezidi. Maeneo ya ardhi ya kilimo tunayo mengi tu.
Maji ya mabwawa, Mito maziwa vinatosheleza kuleta mapinduzi ya kilimo. Hatuwezi kufanya mapinduzi ya viwanda ilhali kilimo kimetushinda jamani. Mfano mzuri ni nchi ya America mapinduzi ya viwanda yalianza miaka ya 1820-1870 na yalileta mafanikio makubwa sana wakati huo na hadi sasa.
Serikali itoe maeneo, vifaa vya kilimo, madawa, mbegu kwa vijana kupitia serikali za mitaa waone nguvu ya vijana tulio nao.
Sasa basi naomba tuangalie faida za mapinduzi ya kilimo katika nchi yetu.
1.Ajira, idadi kubwa ya watu wasiokuwa na kazi watajiajiri katika kilimo, na hivo tukaondoa tatizo la ajira nchini.
2.tutakuwa na viwanda vingi ikiwemo vya nguo zitokanazo na kilimo tukifanyacho kama Vile nguo za Sufi, viatu vya ngozi, kutokana na ufugaji. Nk.
3.fedha za kigeni, nchi yetu inaweza pata fedha za kigeni kwa wingi kutokana na kuuza Mazao yetu nje.
4.Msimu WA mavuno Ni msimu mzuri kwa mwaka kwani watu wengi huwa nafuraha kutokana na kwamba mzunguko WA hela unakuwa.vizuri.
5.kilimo Ni chanzo kikubwa cha upatikanaji WA chakula cha kutosha katika nchi na katika familia kwa jumla
.
Hapo juu nimeeleza kwa uchache faida zitokanazo na mapinduzi ya kilimo
Habari ya viwanda Ni propaganda za kisiasa kwa sasa, hatuwezi kuwa na viwanda wakati kilimo tumeshindwa ilihali tuna ardhi ya kutosha.umeongea issue ni wazi kuwa ndio ukweli ila bado kuna baadhi ya watu haswa vijana wa lumumba naona wametoa maneno ya ajab na pia nahis yatakuja zaidi,kiuhalisia hakuna nchi inaweza kuanza na mapinduz ya viwanda then ya kilimo yafate maana inputs za viwanda lazma zitoke katika kilimo...ndio maana lowasa alisema 1.elimu,2.elimu,3.elimu
Yako wewe Ni yapi haswa?Hivi umelala. Ni nani alisema kuna "mapinduzi" unayoyaita wewe "revolution"?
Unafikiri Bakhresa alipewa eka 10,000 za nini?
Unafikiri Dangote alipewa mgodi wa makaa ya mawe wa nini?
Tulinadi mageuzi si mapinduzi. Kumbuka hilo.
Umejuaje kuwa hana hata mbwa, au ulitaka aoneshe mbuzi wa kimasai ili tujifunze nini???, wewe ni zaidi ya mpumbavuUjinga mwingine kweli ni hatari sana, unajishughulisha kupost picha za mifugo ya watu wengine wewe mwenye hata mbwa huna. Huu ni upumbavu na ujinga.
Viongozi wetu wengi wamekuwa wakitumia nguvu nyingi kuliko akili, Bado tuna safari ndefu mnoMapinduzi ya kilimo au viwanda hufanywa na wananchi kwa msaada, maelekezo au uwezeshaji wa serikali.
Serikali za kiafrika, huzuia wananchi kufanya badala ya kuelekeza, kusaidia au kuwezesha.
Nguvu kubwa huelekezwa kwenye ukaguzi wa kuchelewesha, kusumbua na hata kufilisi kwa kuwanyang'anya hata kile kidogo walicho nacho kwa jina la kodi na tozo za kisheria.
Kero kama za askari wengi wa usalama barabarani ni aina ya usumbufu na ucheleweshaji wa maendeleo. Hakuna sababu ya msingi wala umuhimu wa kuweka watu wengi wasiozalisha kusumbua wazalishaji.