mtumishi askofu
Member
- Sep 8, 2021
- 29
- 31
hapo kuna biashara ya speed gavana inataka kufanyika hii huruma ya mambaJeshi la polisi nchini limesema linafikiria kurejesha mfumo wa zamani wa kufunga Vidhibiti mwendo kwenye mabasi ya abiria ili kupunguza ajali.
Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani afande Mutafungwa amesema wanakwenda kukutana na wamiliki wa mabasi ili kujadili na kukubaliana juu ya jambo hilo.
Source: ITV habari