Gospel Preacher
JF-Expert Member
- Jan 17, 2018
- 233
- 263
Tanzania zikiwepo hoteli ambazo mtu akiingia muda anaoingia ndio anatoka Kama hizo hoteli za Afrika magharibi zitapata wateja wengi .Hizi zinazoibia na kudhulumu muda wateja kuwa hata uingie saa kumi usiku saa nne asubuhi lazima utoke zitakufa kito Cha mende na ujuaji waoNikweli mkuu hata mimi nilishawahi kulala Holiday inn Abidjan ilikuwa ni hivyohivyo
Kwann wanasema kwa siku Ni tsh kadhaaa ???? Na siku ina masaa mangapi???Hukuwa na hoja yoyote na huyo meneja alikuhurumia tu. Nyumba za kulala fomula ni ''night/s you spend''.
Daaah
Kweli upumbavu ni mzigo sana.
Kwahiyo ukizaliwa March tubadili mwaka uanze March
Wiki ianze J5
Acheni ujinga wenu. Kimsingi kufika hiyo saa 4 asubuhi ni feva tu. Siku inaisha saa 6 usiku
Ukiingiia hotelini ukasema nalala kwa siku moja Tar 15.12.2019 unapaswa uishi hotelini hapo kwa siku hiyo tuu. Sasa ukiingia saa 4 usiku inapaswa saa 6:01 ulipe upya lakini wanakupa feva mpaka kesho saa 4 asubuhi halafu unaleta matapishi hapa.
Pumbavu sana
Itungwe sheria ili Halmashauri na Manispaa zisimamie ili Mahoteli yetu yaache kuibia raia wa jamhuri na tuwe na utaratibu wa value for moneyTanzania zikiwepo hoteli ambazo mtu akiingia muda anaoingia ndio anatoka Kama hizo hoteli za Afrika magharibi zitapata wateja wengi .Hizi zinazoibia na kudhulumu muda wateja kuwa hata uingie saa kumi usiku saa nne asubuhi lazima utoke zitakufa kito Cha mende na ujuaji wao
Dahh....
Sasa sijui watu wanatoka mapovu kivipi tena hapaa!??
Hili nalo jinga Sana linshesabu Siku ni masaa 12 halijaenda shule hili, halijui kuwa Siku moja ni masaa 24 halijui hata utaratibu wa tarehe kuwa tarehe inakamilika Kwa masaa 24 .linaleta ujinga kwenye hoja ya kisomi mwenzako anazungumzia Siku wewe unazungumzia nusu SikuDaaah
Kweli upumbavu ni mzigo sana.
Kwahiyo ukizaliwa March tubadili mwaka uanze March
Wiki ianze J5
Acheni ujinga wenu. Kimsingi kufika hiyo saa 4 asubuhi ni feva tu. Siku inaisha saa 6 usiku
Ukiingiia hotelini ukasema nalala kwa siku moja Tar 15.12.2019 unapaswa uishi hotelini hapo kwa siku hiyo tuu. Sasa ukiingia saa 4 usiku inapaswa saa 6:01 ulipe upya lakini wanakupa feva mpaka kesho saa 4 asubuhi halafu unaleta matapishi hapa.
Pumbavu sana
Asante mkuu . Wizara ya nyumbani na makaze hebu pitieni/andaeni sheria itakayoweka hii kitu vizuri tumechoka kuibiwa bhana!!!!Kawaida mtu ukiingia hotel muda unaoingia ndio kesho yake unatakiwa uwe muda wako wa kutoka sababu unalipia kwa siku yaani masaa 24
Mahotel ya Tanzania yamejiwekea utaratibu wa wizi kuwa muda wa kutoka lazima uwe saa nne asubuhi bila kujali umeingia saa ngapi.
Nilikuwa Nigeria niliingia saa nne usiku hotelini wakaniambia muda wangu wa kutoka ni kesho usiku muda kama huo huo nilioingia.Wanahesabu MASAA 24 kamili bila kupunja
Tanzania hata uingie saa nane usiku hotelini wanataka saa nne asubuhi uachie chumba wakati umelipia siku nzima wao wanakulaza masaa machache tu na kukwambia toka kama vile wewe ni changudoa uliyeenda kupanga chumba short time
Wanasheria bebeni hili kesi buruzeni wamiliki mahoteli mahakamani wakome wizi
Umeangalia upande mmoja tu, kumbuka wapo wanaoingia saaa nne asubuhi, ukiingia Saaa nne asubuhi unakaaa na chumba masaaa 24 had saaa nne asubuhi Ya kesho yake, maaana yake wao chumba wanauza kuanzia Saaa nne asubuhi had Saaa nne asubuhi Ya kesho yake, hiyo inawekwa kitaaalam ili kusaidia Mfumo wa kiutawala ikiwa ni pamoja na swala la Usafi, ukiachia chumba usiku Saaa nne Nani atakifanyia Usafi ili kiuzwe tena?Kawaida mtu ukiingia hotel muda unaoingia ndio kesho yake unatakiwa uwe muda wako wa kutoka sababu unalipia kwa siku yaani masaa 24
Mahotel ya Tanzania yamejiwekea utaratibu wa wizi kuwa muda wa kutoka lazima uwe saa nne asubuhi bila kujali umeingia saa ngapi.
Nilikuwa Nigeria niliingia saa nne usiku hotelini wakaniambia muda wangu wa kutoka ni kesho usiku muda kama huo huo nilioingia.Wanahesabu MASAA 24 kamili bila kupunja
Tanzania hata uingie saa nane usiku hotelini wanataka saa nne asubuhi uachie chumba wakati umelipia siku nzima wao wanakulaza masaa machache tu na kukwambia toka kama vile wewe ni changudoa uliyeenda kupanga chumba short time
Wanasheria bebeni hili kesi buruzeni wamiliki mahoteli mahakamani wakome wizi
Wewe kweli huna kazi za kufanya.Fahamu watu wanaolala hotelini ni kwa matatizo yao mbalimbali wangine wasafiri.NENDA KAFANYE KAZI ACHA KUWAZA KWENDA KUSHINDA MAHOTELINI SAA 24.Kawaida mtu ukiingia hotel muda unaoingia ndio kesho yake unatakiwa uwe muda wako wa kutoka sababu unalipia kwa siku yaani masaa 24
Mahotel ya Tanzania yamejiwekea utaratibu wa wizi kuwa muda wa kutoka lazima uwe saa nne asubuhi bila kujali umeingia saa ngapi.
Nilikuwa Nigeria niliingia saa nne usiku hotelini wakaniambia muda wangu wa kutoka ni kesho usiku muda kama huo huo nilioingia.Wanahesabu MASAA 24 kamili bila kupunja
Tanzania hata uingie saa nane usiku hotelini wanataka saa nne asubuhi uachie chumba wakati umelipia siku nzima wao wanakulaza masaa machache tu na kukwambia toka kama vile wewe ni changudoa uliyeenda kupanga chumba short time
Wanasheria bebeni hili kesi buruzeni wamiliki mahoteli mahakamani wakome wizi
Ndiyo. Ni kweli kabisa wanasema hivyo lakini ''siku'' ya hotel mara nyingi huanza saa za mchana (saa 7 mpaka 9) na kuisha siku inayofuata (saa 4 mpaka 6). Hii ni standard inayofanya kazi duniani kote (japo kunaweza kuwa na exception). Haijalishi umeingia saa ngapi lakini muda uliowekwa ni huo. Hawachaji fedha kwa masaa bali kwa siku na siku zao kama nilivyokumbia hazihesabiwi kuanzia saa sita na dakika moja ya usiku bali zinaanzia mchana na kusihia mchana unaofuata. Ni kama town bus zinavyo operate. Ukitoka Kariakoo kwenda Makumbusho haijalishi unashukia kituo gani lakini nauli inakuwa standard. Nimebahatika kusafiri na kulala hotel nyingi kubwa. Kwa mfano nchi za Scandiavia hotel nyingi check in ni kuanzia saa 9 jioni na check out ni saa 6 mchana siku inayofuata.Kwann wanasema kwa siku Ni tsh kadhaaa ???? Na siku ina masaa mangapi???
Vitu vingne tunaibiwa kwa ujinga wetu wenyewe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika wewe u mmoja wa wezi hao.Daaah
Kweli upumbavu ni mzigo sana.
Kwahiyo ukizaliwa March tubadili mwaka uanze March
Wiki ianze J5
Acheni ujinga wenu. Kimsingi kufika hiyo saa 4 asubuhi ni feva tu. Siku inaisha saa 6 usiku
Ukiingiia hotelini ukasema nalala kwa siku moja Tar 15.12.2019 unapaswa uishi hotelini hapo kwa siku hiyo tuu. Sasa ukiingia saa 4 usiku inapaswa saa 6:01 ulipe upya lakini wanakupa feva mpaka kesho saa 4 asubuhi halafu unaleta matapishi hapa.
Pumbavu sana
Unaweza kwenda guest house inayolipisha kwa masaa pia.
Hoteli zinahitaji muda fulani kubadili shuka, kufanya usafi etc.
Kwa hukubwatu wanafanya usafi kuanzia saa sita moaka saa tisa. Hivyo muda huo inabidi uwaachie chumba wafanye usafi.
Au unataka kulala kwenye kitanda chenye shuka zenye manii ya mtu mwingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
''Siku'' za kihotel hazihesabiwi kama unavyohesabu siku za kawaida. Hotel nyingi siku inaanza mchana eg leo na kuishia mchana kesho. Halafu hazina masaa 24 bali ni pungufu, ili kutayarisha vyumba kwa wale wanaingia wapya ila wanaoendelea kubaki haiwahusu. Hii ni standard inayotumika duniani kote tangu zamani. Uzoefu wangu ni kuwa check in mara nyingi inaanzia saa 9 alasiri na check out ni kesho yake saa 6 mchana. Haijalishi umeingia saa ngapi.Iko wapi hiyo Sheria? Per night kwani kila mtu mwanga?.Wanachaji per day yenye 24 hours sio per night ingekuwa per night wangeanza ku check in watu kuanzia saa moja jioni na ku check out saa 12 alfajiri.Ndio maana kwenye kitabu Cha check in unaandika tarehe ya kuingia na tarehe ya kutoka
pDaaah
Kweli upumbavu ni mzigo sana.
Kwahiyo ukizaliwa March tubadili mwaka uanze March
Wiki ianze J5
Acheni wA
Wewe akili huna chukulia umeingia na Ndege usiku Dar es salaaam toka mikoani saa nne usiku toka mwanza unasafiri na ndege kwenda ulaya saa mbili usiku kesho .Kwa hiyo ucheck out hoteli saa nne asubuhi kwenye hoteli ? Ukashinde airport au ukilipie Mara mbili chumba ndani ya masaa 24 ili upumzike hapo hoteli Hadi muda wa ku check in kwenye ndege?Wewe kweli huna kazi za kufanya.Fahamu watu wanaolala hotelini ni kwa matatizo yao mbalimbali wangine wasafiri.NENDA KAFANYE KAZI ACHA KUWAZA KWENDA KUSHINDA MAHOTELINI SAA 24.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Wenye mahoteli wanatugeuza wateja wote Kama machangudoa kuwa tuna book short time tufanye uchangudoa.Mtu unawasili SAA kumi usiku safari unalipia chumba full Bei SAA nne asubuhi unaambiwa toka Kama vile wewe changudoa ukikodi short timeUko sahihi tunaumizwa sana.Watanzania mmeanza kuamka sasa sijajua la wamiliki wa mitandao ya simu wamefikia wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app