Serikali izibane hotel zote za kulala Tanzania zinaibia wateja

Tuseme huu ni wizi.

Sasa, mnafanya nini kuondoa "wizi" huu zaidi ya kulalamika JF?
Hi Ni wake up call.Mbuyu huanza Kama mchicha.Wateja wanaoumia kwa hili wakiwemo mawakili na wapigania Hali za binadamu washaliona hili kazi Mimi kwa sehemu yangu nimemaliza.Wengine wa take over nilipoishia.Ni Kama mbio.za kupokezana vijiti .Kijiti hicho.nakabidhi wengine wakimbie nacho .Tutapata ufumbuzi huu wizi hauko dunia nzima ni baadhi.ya nchi.ikiwemo Tanzania
 
Masikini hebu nendeni guest house za keko magurumbasi , haya mahotel waachieni wenye uwezo
Uzuri kipindi hiki Cha Magufuli hoteli nyingi zinaisoma namba panoja na kukomaa na wizi wao Cha Moto wanakiona.Wanakufa navtaibshingoni hawataki kulegeza kupunguza Bei na kutomdhulumu.mteja masaa yake
Laana ya kudhulumu wateja Mwenyezi Mungu anawalipa Wenye hoteli za kulala Tanzania
 
Hizo hoteli zako za unazoita za maana Tanzania mfano umeingia check in Leo saa kumi usiku check out time itakuwa saa ngapi?

Utachek-out kati ya saa 8 mchana na saa 10 alasiri.

Ila kwa kawaida au general rule ni saa 6 mchana.

Hizi hoteli zinahakikisa vyumba vimefanyiwa usafi tayari kupokea wageni wengine ifikapo saa 8 mchana.

Na hapa nazungumzia wageni ambao ni wasafiri, hivyo check -out yako yaendana na muda ambao ndege. basi au garimoshi itaondoka.

Hoteli hizi zina utaratibu wa kuongeza muda wa kucheck-out, hivyo kama umeingia saa hiyo unayosema ya 10 usiku basi ikifika saa 6 mchana utatakiwa uwasiliane na mapokezi ili waongeze muda.

Hata hivyo hoteli hizi pia zina utaratibu kwamba wageni wanaoingia baada ya saa 5 usiku kuna utaratibu wa kuwasiliana na hoteli husika ili kuwajulisha kusudio lako la kulala hapo.

Na hii ni kwa ajili ya usalama na milango huwa inafungwa au kunakuwa na walinzi wanaokaa milangoni kabisa..
 
Daaah
Kweli upumbavu ni mzigo sana.
Kwahiyo ukizaliwa March tubadili mwaka uanze March
Wiki ianze J5
Acheni ujinga wenu. Kimsingi kufika hiyo saa 4 asubuhi ni feva tu. Siku inaisha saa 6 usiku
Ukiingiia hotelini ukasema nalala kwa siku moja Tar 15.12.2019 unapaswa uishi hotelini hapo kwa siku hiyo tuu. Sasa ukiingia saa 4 usiku inapaswa saa 6:01 ulipe upya lakini wanakupa feva mpaka kesho saa 4 asubuhi halafu unaleta matapishi hapa.
Pumbavu sana
Ukiingia saa 8 usiku?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bro naona unashindwa kutofautisha siku na saa..siku 1 ina masaa 24..ww unazungumzia mda ambao siku inaisha..vitu 2 tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah
Kweli upumbavu ni mzigo sana.
Kwahiyo ukizaliwa March tubadili mwaka uanze March
Wiki ianze J5
Acheni ujinga wenu. Kimsingi kufika hiyo saa 4 asubuhi ni feva tu. Siku inaisha saa 6 usiku
Ukiingiia hotelini ukasema nalala kwa siku moja Tar 15.12.2019 unapaswa uishi hotelini hapo kwa siku hiyo tuu. Sasa ukiingia saa 4 usiku inapaswa saa 6:01 ulipe upya lakini wanakupa feva mpaka kesho saa 4 asubuhi halafu unaleta matapishi hapa.
Pumbavu sana
Sasa wewe ndio mpumbavu. Mtu akiingia saa nane usiku tarehe 15/12/2019, siku yake itaisha saa ngap?? Still atatakiwa akae hadi saa sita usiku, hadi itakapo ingia siku mpya, saa sita na dk moja ndio 16/12/2019.

Mleta mada ana hoja, wew una vioja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah
Kweli upumbavu ni mzigo sana.
Kwahiyo ukizaliwa March tubadili mwaka uanze March
Wiki ianze J5
Acheni ujinga wenu. Kimsingi kufika hiyo saa 4 asubuhi ni feva tu. Siku inaisha saa 6 usiku
Ukiingiia hotelini ukasema nalala kwa siku moja Tar 15.12.2019 unapaswa uishi hotelini hapo kwa siku hiyo tuu. Sasa ukiingia saa 4 usiku inapaswa saa 6:01 ulipe upya lakini wanakupa feva mpaka kesho saa 4 asubuhi halafu unaleta matapishi hapa.
Pumbavu sana
Mbona una jazba sana,una ka gesti unamiliki nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi Ni wake up call.Mbuyu huanza Kama mchicha.Wateja wanaoumia kwa hili wakiwemo mawakili na wapigania Hali za binadamu washaliona hili kazi Mimi kwa sehemu yangu nimemaliza.Wengine wa take over nilipoishia.Ni Kama mbio.za kupokezana vijiti .Kijiti hicho.nakabidhi wengine wakimbie nacho .Tutapata ufumbuzi huu wizi hauko dunia nzima ni baadhi.ya nchi.ikiwemo Tanzania
Pelekeni kesi mahakamani, acheni kulialia.

Kuna mtu kapeleka kesi mahakamani dhidi ya Vodacom, kabla kesi haijaisha Vodacom washaanza kubadilisha mambo.

Acheni kulialia mitandaoni, pelekeni madai yenu mahakamani.

Bado mnalazimishwa kulipishwa kodi za nyumba za miezi sita upfront?
 
Sio tunalo tunatafuta alternative ambayo yaweza ua mahoteli majizi yasipobadilika
Mahoteli gani hayo yasiyo majina? Hata wewe unayajua au unashikia bango mahoteli yasiyo majina?

Yani hata nikisema nataka kukuunga mkono, nikija nisitembelee mahoteli hayo, inakuwa vigumu kukuunga mkono.

Kwa sababu unaongelea mahoteli yasiyo na majina.
 
Pelekeni kesi mahakamani, acheni kulialia.

Kuna mtu kapeleka kesi mahakamani dhidi ya Vodacom, kabla kesi haijaisha Vodacom washaanza kubadilisha mambo.

Acheni kulialia mitandaoni, pelekeni madai yenu mahakamani.

Bado mnalazimishwa kulipishwa kodi za nyumba za miezi sita upfront?
Huyo aliyepeleka kesi ya makampuni ya Simu tunamwomba abebe na hii kesi ya Wenye mahoteli sababu anaonekana ndie wakili pekee Tanzania ambaye aweza simamia maslahi ya wananchi walio wengi.Masakili wengine kazi yao kuzurura tu mabarabarani na makoyi yap na mihuri wakitafuta watu wa kuwagongea
 
Wewe umefanya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom