Serikali iyashughulikie madai ya Waislamu

Status
Not open for further replies.
Uislam ni janga la kitaifa. Tushirikiane kuutokomeza. JWTZ wapo fit kabisa kuwaangamiza Waislam. Tuwape ushirikiano
 
badilisha mada yako badala ya kuiambia serikali maneno hayo waelekezee waislam wenye madaraka serikalini,waislamu wafanyabiashara wakubwa /kati na waislamu wanaoheshimika ktk jamii, kuangalia kwa undani na uhalisia juu ya matatizo yenu nyinyi waasi wa BAKWATA, na BAKWATA yenyewe. nyinyi waislam ambao ni waasi wa BAKWATA mnamalalamiko mengi yasioisha kwa jamii nyingine ya kitanzania pale mnapoona wanatumia vizuri fursa zao kujiinua kiimani na kiuchumi nasisitiza mbaya wenu si serikali ni nyinyi wenyewe kaeni toeni tofaut zenu mjiinue kisiasa,kiimani na kiuchumi tazameni mf; sekondari ya kinondoni seminary inahadhi kweli ya kusimamiwa na uislamu, ona al haramain kweli serikali ije iwasimamie? najua inawauma mkiangalia shule za dini zingine. simamieni kweli nayo hiyo kweli itawaweka huru.
 
Nadhani kwa kuwa Idd Amin alikuwa mwislamu.

Hiyo ndio Sababu kuwa IDD AMIN alikuwa MWISLAMU? Kwani hakufanya kosa la kusababisha Wanajeshi wao KUUWAWA? SOMA HISTORIA ya VITA VYA UGANDA not on Tanzania prospectives; Kwa Uganda prospectives

Uganda ilipata msaada toka LIBYA, MOROCCO, PLO - ARAFAT; ENGLAND; IMF; WORLD BANK

Tanzania haikupata Msaada wowote; sababu wakati huo NCHI ilikuwa na FEDHA nyingi za KIGENI - Nchi zenye SILAHA Ziligoma Kuiuzia SILAHA ikalazimika kununua SILAHA kwa ULANGUZI; NCHI nyingi zilitaka Tanzania ianguke kwa sababu y Tanzania kuunga mkono MAPINDUZI ya WENGI WEUSI kusini Mwa AFRICA.

Kiongozi wa VITA kwa UPANDE wa Tanzania alikuwa GENERAL ABDALLAH TWALIPO
Waziri wa Ulinzi alikuwa Col. ADBDALLAH SAID NATEPE
RAIS wetu wa SASA - J K KIKWETE alikuwa ndani ya SIASA JESHINI kuhamasisha - Hakushika MTUTU

HIVI kwali watu wanachangia hoja kiushabiki bila hata ya kuwa na UFAHAMU wa hiyo HISTORIA?
 
Tunachodai Waislamu si Serikali kutuletea jua au mwezi mkononi! ni madai ya haki na ya kimsingi ambayo yanatekelezeka na yoyote yule anayependa uadilifu, vinginevyo subirini nchi kufilisika kabla ya kwenda hatua nyingine.

Mkuu, nimeipenda thread yako. Yaonekana wewe ni mwelewa na umeelimika, hongera.
Lakini ili na wengine tupate kumegewa japo kidogo sehemu ya hiyo elimu yako, tafadhali tuorodheshee japo kwa uchache tu haki ambazo waislaamu wa TZ wananyimwa lakini wakristo, wahindu, wabudha, wapagani nk. wanazipata. Na unafikiri ni kwa nini waislaamu wananyimwa kama ni kweli.

Pili katika hiyo MoU baina ya makanisa na serikali, kama kweli ipo, tuoneshe kipengele kinachoikataza serikali ya Tz, kamwe isisaini MoU na dini nyingine iwayo yote zaidi ya wakristo ili utuaminishe kwamba kweli serikali ya TZ inayoongozwa na waislamu katika vitengo nyeti karibu vyote inawaonea waislaamu.
 
Ninali ignore swali la kwanza na kwenda kwenye la pili moja kwa moja.

Kwanza anayebebe responsibility ya kuua uchumi hapa atakuwa si Muislamu bali ni serikali kushindwa kwake kuyatatua matatizo ya Waislamu.
Pili, kama itatokea Waislamu kuisimamisha nchi kiuchumi itakuwa ni fursa nzuri ya kuanza upya ambayo ni advantage kwa Waislamu.

Kwa kusema tu kwamba Waislam wakisimamia uchumi unaonyesha ufinyu mkubwa wa kufikiri. Sijui kama kuna Muislam mwenye mawazo kama yako. Wewe ni mbaguzi wa kutisha. Mbona hatuoni kama nchi ambazo ni predominantly moslems zikiongoza uchumi wa dunia?
 
Viongozi wote wa wajuu wa serikali na chama ni waislam..kwa nini msiwaite mabarazani mkazungumze nao?nafiri wataelewa vizuri..mie ninavyojua hadi sasa adaui wa haki za waislam Tanzania ni Waislam wenyewe..

JK alisema ombeni mtapewa hamkuomba,wenzenu waliomba wakapewa...
 
An enemy of Islam are the muslims themselves. JK is not a mormon. Said Mwema is not RC. Dr Shein is not SDA. Muslims in Tanzania and the rest of the world must educate their people with quality education, and get rid of the useless madrasat education.[/QUOTE

Truth hurts.... but must be spoken.... take this A+, for this...

But once u say this to muslims you will be their number
one enemy...

LOOK THIS....

Muslims are not happy in their own countries ...Sudan, Libya, Egypt, Yemen, Syria, Palestine, Lebanon, Iran,
Iraq, Afghanistan, Somalia, Pakistan..ZNZ

Muslims are happy in USA, UK, Tanzania, Italy, France, Venezuela, Brazil, Mexico, Germany, Canada, India,
Russia, China, Poland....

In general muslims are happier in Christian countries of which they are blaming those countries and want to turn them like their countries..... chaos, chaos....

AND WON'T STOP CALLING ELIMU DUNIA.... wanabakia madrassa tuuuuu.....

ELIMU NDIO INAFANYA NCHI ZOTE ZA KIKRISTO LIKE USA, ISRAEL WATAWALE DUNIA.... ni elimu tu no MIRACLES....

Sijui lini watajua ukweli..... shauri yao...
 
Nimefuatilia sana majibu yanayotoka kukiwa na habari yoyote inayohusu Waislam. Wengine utasikia magaidi hao,hawana ustaarabu,watu wa vurugu n.k........

Nakaa najiuliza tatizo na waislamu ambao hawapractise uislamu vizuri au ni uislamu kama dini yenye matatizo? Wengine utasikia dini ya ugaidi hiyo, wengine magaidi hao sielewe kwa kina tatizo ni dini ya Uislamu au waislamu?

Kama tatizo ni uislamu tuangalie Qura'am tukufu imeandika nini kuhusu mtu kumuua mwenzako pasi na sababu yoyote:-

مِنْ أَجْلِ ذَٰلِكَ كَتَبْنَا عَلَىٰ بَنِي إِسْرَ*ائِيلَ أَنَّهُ مَن قَتَلَ نَفْسًا بِغَيْرِ* نَفْسٍ أَوْ فَسَادٍ فِي الْأَرْ*ضِ فَكَأَنَّمَا قَتَلَ النَّاسَ جَمِيعًا وَمَنْ أَحْيَاهَا فَكَأَنَّمَا أَحْيَا النَّاسَ جَمِيعًا ۚ وَلَقَدْ جَاءَتْهُمْ رُ*سُلُنَا بِالْبَيِّنَاتِ ثُمَّ إِنَّ كَثِيرً*ا مِّنْهُم بَعْدَ ذَٰلِكَ فِي الْأَرْ*ضِ لَمُسْرِ*فُونَ ﴿٣٢

Tafsiri yake:-

Kwa sababu ya hayo tuliwaandikia Wana wa Israili ya kwamba aliye muuwa mtu bila ya yeye kuuwa, au kufanya uchafuzi katika nchi, basi ni kama amewauwa watu wote. Na mwenye kumuokoa mtu na mauti ni kama amewaokoa watu wote. Na hakika waliwajia Mitume wetu na hoja zilizo wazi. Kisha wengi katika wao baada ya haya wakawa waharibifu katika nchi. Sura Al-Maeda aya ya 32

Kwa andiko hili ni wazi kabisa Qura'n umeupa uzito wa hali ya juu uhai wa mwanaadamu kwani kuuwa pasi na sababu yoyote kisheria ni kosa kubwa mbele ya ALLAH.

Nathubutu kusema kuwa hakuna dini yoyote yenye andiko linalofanana na hili au lenye maana kama hii. Kwa mantiki hiyo Uislamu kama dini inathamini sana uhai wa mtu yoyote regardless dini yake. Sasa inakuaje kama waumini hawafuati maandiko (katika kila jamii watu kama hawa wapo) utasema kuwa dini yao ndio yenye matatizo au waumini wenyewe ndio wenye matatizo?

Ikiwa ni kuupiga vita na kuupaka matope Uislamu, walishafanya haya waliotangulia lakini hawakufanikiwa. So ikiwa mtu yoyote mwenye fikra kama hiyo ajue wazi kuwa ndoto yake haitatimia. Waliokuwa na mali zao wakaupiga vita uislamu kwa nguvu zao zote na hawakufanikiwa,itakuwa nyinyi mnaosemasema maneno tu?

Endeleeni kukejeli dini za wenzenu mwisho wa siku hakuna impact yoyote. Lakini nataka kusema kuwa Western Media & America wamefanikiwa kwa kupiga propaganda za hali ya juu na kuhalalisha vita katika nchi za Kiislamu. Lakini ukiangalia impact yake katika dini is almost wakufanya chochote despite kupoteza resources nyingi ambazo zingeweza kutumika katika mambo mengine yenye manufaa kwa umma.

Once Iran alisema kuwa wao hawana tatizo na ukristo kama dini ila wana tatizo na Zionist (Jewish) ambao wako mstara wa mbele kuupiga vita Uislamu kwa sura ya Ukristo. Mambo yote yanayooendelea sasa kama vita vya Syria Zionist are behind it!!

Ninali ignore swali la kwanza na kwenda kwenye la pili moja kwa moja.

Kwanza anayebebe responsibility ya kuua uchumi hapa atakuwa si Muislamu bali ni serikali kushindwa kwake kuyatatua matatizo ya Waislamu.
Pili, kama itatokea Waislamu kuisimamisha nchi kiuchumi itakuwa ni fursa nzuri ya kuanza upya ambayo ni advantage kwa Waislamu.

mbona matatizo wanasababisha wao vile vie wanaweza kuyasolve wenyewe
 
Nikirudi kwenye maada ya Waislamu kusikilizwa madai yao naomba kuuwakilisha waraka huu ambao kwa kina kabisa umeonyesha hali ya Waislamu tokea uhuru mpaka sasa. Ukimaliza kuusoma ndio utajiuliza kweli Waislamu wana haki ya kusikilizwa madai yao au?
 
Attachments

  • Baraza.doc
    89.5 KB · Views: 67
Sasa hivi inatosha tu kwa Waislamu kutangaza kuandamana na serikali itatuma Polisi, FFU, Mgambo au hata JWTZ! kwa wasioona mbali wanaona kuwa hili ni suluhisho sahihi.

Wasichokijua hapa ni kuwa kama Waislamu wataamua kucheza gemu la kutangaza maandamano kila ijumaa na serikali kupeleka vyombo vya usalama misikitini kila ijumaa ukijumlisha na upelekaji wa hivi vyombo kwenye kesi za kina Sheikh Ponda basi ni gharama kubwa sana kiuchumi ambayo serikali inaingia kila Ijumaa.
Vilevile bajeti ya ulinzi nayo inaongezeka, kwa nchi changa kama Tanzania serikali haitaweza kufanya hivi kila ijumaa bila ya nchi kuyumba kiuchumi.

Tathmini yangu inanionyesha na nadhani kuna watakaokubaliana nami kuwa Waislamu wa Tanzania sasa wana uwezo wa kuifyonza nchi kiuchumi! matokeao yake ni kuwa kama yale ya baada ya vita na Uganda, hata Wakristo wanaochekelea kupigwa kwa Waislamu sasa wajue kuwa hizo hela za MoU zitapungua sana kwenda kwao.

Tunachodai Waislamu si Serikali kutuletea jua au mwezi mkononi! ni madai ya haki na ya kimsingi ambayo yanatekelezeka na yoyote yule anayependa uadilifu, vinginevyo subirini nchi kufilisika kabla ya kwenda hatua nyingine.

Serikali Ishughulikie madai gani hata we mwenyewe unaanzisha uzi mbele ya great thinkers lakini unashindwa kutaja hata dai moja? Kama ni dai la nchi kutawaliwa ki islam hiyo haiwezekani-si wakristo wala Waislamu wote hatukubaliani na hilo!
 
NENDA BARABARANI KADAI UNAYOTAKA...., siyo kwenye keyboard.. WAISLAM WENGN WA JF BHANA,..... Wanaangalia cd za Ponda wanajifanya nao wanamsimamo mkali.... Nenda kamsaidie ponda kupata mdhamana kama kweli unauchungu
Aende akaandamane akae mbele kabisa kuonesha anamuunga Mkono Ponda tumuone Kwenye vyombo vya habari
 
Ninali ignore swali la kwanza na kwenda kwenye la pili moja kwa moja.

Kwanza anayebebe responsibility ya kuua uchumi hapa atakuwa si Muislamu bali ni serikali kushindwa kwake kuyatatua matatizo ya Waislamu.
Pili, kama itatokea Waislamu kuisimamisha nchi kiuchumi itakuwa ni fursa nzuri ya kuanza upya ambayo ni advantage kwa Waislamu.

Kumbe mapambano yote ni ili waislam wapate advantage?....Hebu tuharibishe hiyo advantage mnaitafuta dhidi ya nani?
 
Kwa kusema tu kwamba Waislam wakisimamia uchumi unaonyesha ufinyu mkubwa wa kufikiri. Sijui kama kuna Muislam mwenye mawazo kama yako. Wewe ni mbaguzi wa kutisha. Mbona hatuoni kama nchi ambazo ni predominantly moslems zikiongoza uchumi wa dunia?

moyo wangu unaikumbuka LIBYA ya Gaddaf.........kwa maneno yako Mkuu,TWASILA
 
Nimefuatilia sana majibu yanayotoka kukiwa na habari yoyote inayohusu Waislam. Wengine utasikia magaidi hao,hawana ustaarabu,watu wa vurugu n.k........

Nakaa najiuliza tatizo na waislamu ambao hawapractise uislamu vizuri au ni uislamu kama dini yenye matatizo? Wengine utasikia dini ya ugaidi hiyo, wengine magaidi hao sielewe kwa kina tatizo ni dini ya Uislamu au waislamu?

Kama tatizo ni uislamu tuangalie Qura'am tukufu imeandika nini kuhusu mtu kumuua mwenzako pasi na sababu yoyote:-

مِنْ أَجْلِ ذَٰلِكَ كَتَبْنَا عَلَىٰ بَنِي إِسْرَ*ائِيلَ أَنَّهُ مَن قَتَلَ نَفْسًا بِغَيْرِ* نَفْسٍ أَوْ فَسَادٍ فِي الْأَرْ*ضِ فَكَأَنَّمَا قَتَلَ النَّاسَ جَمِيعًا وَمَنْ أَحْيَاهَا فَكَأَنَّمَا أَحْيَا النَّاسَ جَمِيعًا ۚ وَلَقَدْ جَاءَتْهُمْ رُ*سُلُنَا بِالْبَيِّنَاتِ ثُمَّ إِنَّ كَثِيرً*ا مِّنْهُم بَعْدَ ذَٰلِكَ فِي الْأَرْ*ضِ لَمُسْرِ*فُونَ ﴿٣٢

Tafsiri yake:-

Kwa sababu ya hayo tuliwaandikia Wana wa Israili ya kwamba aliye muuwa mtu bila ya yeye kuuwa, au kufanya uchafuzi katika nchi, basi ni kama amewauwa watu wote. Na mwenye kumuokoa mtu na mauti ni kama amewaokoa watu wote. Na hakika waliwajia Mitume wetu na hoja zilizo wazi. Kisha wengi katika wao baada ya haya wakawa waharibifu katika nchi. Sura Al-Maeda aya ya 32

Kwa andiko hili ni wazi kabisa Qura'n umeupa uzito wa hali ya juu uhai wa mwanaadamu kwani kuuwa pasi na sababu yoyote kisheria ni kosa kubwa mbele ya ALLAH.

Nathubutu kusema kuwa hakuna dini yoyote yenye andiko linalofanana na hili au lenye maana kama hii. Kwa mantiki hiyo Uislamu kama dini inathamini sana uhai wa mtu yoyote regardless dini yake. Sasa inakuaje kama waumini hawafuati maandiko (katika kila jamii watu kama hawa wapo) utasema kuwa dini yao ndio yenye matatizo au waumini wenyewe ndio wenye matatizo?

Ikiwa ni kuupiga vita na kuupaka matope Uislamu, walishafanya haya waliotangulia lakini hawakufanikiwa. So ikiwa mtu yoyote mwenye fikra kama hiyo ajue wazi kuwa ndoto yake haitatimia. Waliokuwa na mali zao wakaupiga vita uislamu kwa nguvu zao zote na hawakufanikiwa,itakuwa nyinyi mnaosemasema maneno tu?

Endeleeni kukejeli dini za wenzenu mwisho wa siku hakuna impact yoyote. Lakini nataka kusema kuwa Western Media & America wamefanikiwa kwa kupiga propaganda za hali ya juu na kuhalalisha vita katika nchi za Kiislamu. Lakini ukiangalia impact yake katika dini is almost wakufanya chochote despite kupoteza resources nyingi ambazo zingeweza kutumika katika mambo mengine yenye manufaa kwa umma.

Once Iran alisema kuwa wao hawana tatizo na ukristo kama dini ila wana tatizo na Zionist (Jewish) ambao wako mstara wa mbele kuupiga vita Uislamu kwa sura ya Ukristo. Mambo yote yanayooendelea sasa kama vita vya Syria Zionist are behind it!!

The Quran contains at least 109
verses that call Muslims to war with
nonbelievers for the sake of Islamic
rule. Some are quite graphic, with
commands to chop off heads and
fingers and kill infidels wherever
they may be hiding. Muslims who
do not join the fight are called
'hypocrites' and warned that Allah
will send them to Hell if they do not
join the slaughter.
 
Sasa mbona mnatuchanganya mara wanaoandamana ni wahuni.. Mara mnaondamana ni waislam, tuelewe lipi sasa?? Au ni waislam wa dhehebu la wahuni???
Na hapa ndo huwa wananishangaza hawa ndugu zetu, kama tulishaambiwa kuwa wanaoandamana ni wahuni, na huyu bwana anadai waislamu wanapaswa kutatuliwa matatizo wanayoyadai huku wakiandamana. It goes without saying kuwa u..............u ni uhuni!!!!
 
The Quran:
Quran (2:191-193) - "And slay them
wherever ye find them, and drive
them out of the places whence they
drove you out, for persecution [of
Muslims] is worse than slaughter
[of non-believers] ... but if they
desist, then lo! Allah is forgiving and
merciful. And fight them until
persecution is no more, and religion
is for Allah ."
 
Quran (2:244) - "Then fight in the
cause of Allah, and know that Allah
Heareth and knoweth all things."
 
Yes that is true but have you ask yourself under what circumstances ALLAH has called the believers to join in the war?

At those time there was agreement between believers and non believers. Some of those Quar'anic verses you are trying to point out is when agreement is breached by non believers is when they are told to fight.

Katika Uislamu kupigania haki yako ni kitu cha msingi kabisa na hata dini ya Uislamu umesisitiza sana katika kupigania haki yako!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom