Serikali iweke vyanzo endelevu vya mapato

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,939
Wana jamvi

Kutokana na mamlaka ya mapato kutokuwa na vyanzo endelevu maana imekua ikihaha kila kona kujaribu kukusanya mapato kwa chochote wanachokiona kinafaa kwa maana hiyo imeshindwa kujua wapi hasa inatakiwa iweke nguvu na kufanya makusanyo wanayotangaza yawe endelevu kwa miaka yote nitatoa mfano kama kweli TRA inataka kutuaminisha mapato yanaongezeka kuwa endelevu basi waweke viwango maalumu vya kodi katika Madini na kuondoa vikodi ambavyo vyanzo vyake ni vya mpito mfano wafanyabiashara ndogo ni rahisi kufunga biashara na pengo la kodi kwa TRA likaonekana hivyo kuyumba, kusiwe na makadirio ya kodi bali iwe fixed kwa biashara kubwa,ile ahadi ya kuondoa kero za kodi ndogo imekua ongezeko la utitiri wa kodi
 
Back
Top Bottom