Puma yetu
Senior Member
- Sep 23, 2016
- 111
- 125
Juzi uhamiaji imewakamata na kuwashikilia wahadhiri kadhaa kutoka chuo kikuu cha kimataifa cha Kampala tawi la Dar es salaam kwa madai ya ukiukwaji wa taratibu za wageni kufanya kazi nchi na za kiuhamiaji.
Ukweli wa mambo ndio huu,
Hawa wanaojiita wahadhiri kutoka chuo hicho hawana qualifications kabisa na kazi wanazofanya ni tofauti na kazi ambazo wanatakiwa kufanya wageni,ni kazi zinazotakiwa kufanywa na wazawa tu,si kwa taratibu na mujibu wa ajira za wageni nchini.Wengi wanalalamikiwa kwa kufoji vyeti vya elimu za mfamo mtu anajifanya kua ni PhD holder kumbe ni diploma holder,wengine huja kama wanafunzi wa field lakini wanazamia moja kwa moja, wanagushi vyeti kuzidanganya idara za serikali ili kuendelea kuishi nchini.
Kwanini haya yanafanyika?
Ni kwamba kutokana na kukosekana kwa solo la ajira nchi Nigeria wahamiaji hawa hukimbilia Tanzania wakidhani ndio fursa kwao pa kupatia sehemu muhimu ya kujikimu kimaisha.Ni wengi sana kwa kila idara ndani ya chuo hicho wanalipwa kiasi kidogo sana cha malipo kufanya kazi tofauti na wahadhiri wa Tanzania kwa maana kwamba wao wako tayari kupokea chochote kikubwa waendelee kubaki Tanzania maana kwa ajira ni tatizo.
Soko la ajira limeingiliwa,
Ni vyema serikali kufauatilia kwa umakini madai haya maana haiwezekani mtu mwenye diploma au first degree kufanya kazi za mtu mwenye masters au PhD, ni imani yangu kua watanzania wa Level hiyo wako wengi sana lakini kwa sababu hawa ni cheap na nia yao ni kupata chochote bila kujali viwango vyao vya elimu basi wanarudikwa tu. Kwa sasa nchini takribani miaka mitatu mfululizo kuna wahimu wa kada muhimu kama Afya na sayansi shirikishi wamejaa mtaani hawana ajira hivyo hakuna sababu ya kurundika wageni kiasi hiki.