Serikali iwe makini na makampuni ya kamari kuhusu usalama wa nchi

Sio kweli mkuu,kuhusu kluger it's ok,mchina hupakua tsh 400,000-800,000 (kete 2000-4000+ kete 1@200 tsh) kila baada ya 2days kwa slot machine/bonanza moja,jamaa wanaua nguvu kazi ya taifa katika kiwango cha 100% huku wao na mataifa yao wakineemeka.
Vijana now hawalimi,wamekua na rottery mind,wakifanya mishe za kutwa jioni wanaenda kukabizi pesa yote kwa kamari za mchina..too bad
Kwani zinawahusu nini mtu anacheza pesa yake kwa jasho lake inakuhusu nini wewe?
 
Yale makolokolo yanabeba uchumi wa vijana wengi sana.
Huku TEMEKE vijana wengi hufanya kazi na pesa kuzipeleka kwa Wachina.
Usichukulie simple, machine moja kwa siku hukusanya mpaka laki tatu.
Akizungukia mitaa 3 tu ana million ya bure.
Niliwahi kuwa addicted na zile machines, naliwa mpaka laki mbili kwa siku, Namshukuru Mungu sasa nimeacha. Hata bure sichezi.
Wafukuzwe nchini kwa ustawi wa vijana kiakili na kimaendeleo
Uliliwa.kwa ujinga wako.
 
Huwa siamini pamoja na umakini wa serikali yetu katika mambo mengi, imekuaje haioni kuwa mashine za kamali hadi vijijini huko ndani kabisa ni tatizo. Wenyeviti wa vijiji huko mliko, madiwani, wabunge mpo? Kamali haifanani na hapa kazi tu!
Uzalendo wameuchukua ccm mpya,wananchi wamebakiwa na liwalo na liwe
 
Yale makolokolo yanabeba uchumi wa vijana wengi sana.
Huku TEMEKE vijana wengi hufanya kazi na pesa kuzipeleka kwa Wachina.
Usichukulie simple, machine moja kwa siku hukusanya mpaka laki tatu.
Akizungukia mitaa 3 tu ana million ya bure.
Niliwahi kuwa addicted na zile machines, naliwa mpaka laki mbili kwa siku, Namshukuru Mungu sasa nimeacha. Hata bure sichezi.
Wafukuzwe nchini kwa ustawi wa vijana kiakili na kimaendeleo

Addition iko kwa vitu vingi tu hata hivi vya kawaida tu....

Mfano, more than 85% ya wanawake na wanawaume wako addicted na ngono saaana.....

Yaani, hawawezi kusubiri kutofanya tendo la ndoa mpaka waoane rasmi kwa mujibu wa taratibu zilizopo za kidini....

Watu wengine wako addicted na picha za ngono, kutazama TV masaa karibu yote kwa siku nk nk...

Lakini kwa kuwa mambo yako hivi, huwezi kusema ufukuze binadamu wote duniani waende sayari ya Mars....!

Solution ya mambo haya haiko ktk namna unayopendekeza were...

Suluhisho ni kila mtu kujitambua na kuwajibika mwenyewe kwa kila anachokifanya ktk maisha yake...

Mambo mengine hayana sheria ya kimwili kuyadhibiti isipokuwa yana sheria ya rohoni ndani ya kila MTU...
 
Back
Top Bottom