Serikali iwe makini kucheza karata zake iko hivi...

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,926
Kwenye uchaguzi wa Kenya uliomwaga damu mpk kupelekea Uhuru kushtakiwa the Hague na hatimae wakapata katiba mpya (learning in a hard way) Uhuru alikoswakoswa kifungo sio kwasababu hakuwa na hatia hapana sababu zilikuwa hizi

1.Kenya ni heaven ya wazungu toka zamani na UK pekee imefanya uwekezaji mkubwa hivyo walitaka kumdisplin UK ili akili zimkae vizuri ili Kenya iwe salama na uwekezaji wao uwe salama ndio tumeona wenzetu wamepata katiba mpya na mambo Kenya ni shwari.

2.Baba yake UK ndie aliyewakaribisha wazungu na kukumbatia siasa yao ya kibepari hivyo kimsingi wanaiheshimu familia ya UK hivyo lengo halikuwa kumfunga Bali kumtingisha na kumpa displini.

Tofauti ya UK na jpm ni hii
Siku watz wakachinjana kama Kenya na JP akapelekwa ICJ hatoki watamfunga sababu ni hizi

1.Sera zake za uchumi Zimekuwa machukizo kwao wazungu

2.Hali ya demokrasia nchini ni DOA

3.Kuwaita mabeberu wazungu ni kuwatonesha vidonda vya kina mwl nyerere vilivyoanza kupona karne ya 21

4.kuwakumbatia wachina

5.kukosa exposure ya kimataifa

6.kukosa uungwaji mkono wa ndani ya nchi.

Wito wangu jpm a some alama za nyakati ajue kabisa yeye hana misuli ya kusustain pressure ya wazungu kama Uhuru kenyata //

JPM aache kuamini uongo anaopewa na watu wanaojiita MATAGA, Hawa wanampotosha siku akisimama kwenye vizimba vya mahakama ya umoja wa mataifa mataga hayatakuwepo atabaki peke yake.

CCM wanamchora siku kikinuka watajitenga nae Jakaya na Mkapa wana base kubwa nje ya nchi kumzidi wanajua anaharibu pengine hawamshtui kwa makusudi ya kimkakati.

Muda wa tume huru ya uchaguzi ni sasa msisubiri watanzania wamwage damu //dont under estimate Tanzanias kwamba mtawadhibiti kwa police na jeshi
Kwanza siku hizi majeshi ya afrika yana akili wakiona hali ya umwagaji damu inanukia wanamuasi dikteta na kujiunga na wananchi mifano ni
Misri
Zimbabwe
Sudani

CCM na JPM muda ni sasa wekeni mazingira salama ya uchaguzi sasa historia itawakumbuka vema don't Wait to learn in a hard way.
 
Siku kikinuka ndio mtajua mataga yalikuwa yanawadanganya na sisi wakosoaji tunawaambia ukweli
Wanawaambia tuko vizuri sio kweli hata kidogo
 
Kwenye uchaguzi wa Kenya uliomwaga damu mpk kupelekea Uhuru kushtakiwa the Hague na hatimae wakapata katiba mpya (learning in a hard way) Uhuru alikoswakoswa kifungo sio kwasababu hakuwa na hatia hapana sababu zilikuwa hizi
1.Kenya ni heaven ya wazungu toka zamani na UK pekee imefanya uwekezaji mkubwa hivyo walitaka kumdisplin UK ili akili zimkae vizuri ili Kenya iwe salama na uwekezaji wao uwe salama ndio tumeona wenzetu wamepata katiba mpya na mambo Kenya ni shwari.
2.Baba yake UK ndie aliyewakaribisha wazungu na kukumbatia siasa yao ya kibepari hivyo kimsingi wanaiheshimu familia ya UK hivyo lengo halikuwa kumfunga Bali kumtingisha na kumpa displini.
Tofauti ya UK na jpm ni hii
Siku watz wakachinjana kama Kenya na JP akapelekwa ICJ hatoki watamfunga sababu ni hizi
1.Sera zake za uchumi Zimekuwa machukizo kwao wazungu
2.Hali ya demokrasia nchini ni DOA
3.Kuwaita mabeberu wazungu ni kuwatonesha vidonda vya kina mwl nyerere vilivyoanza kupona karne ya 21
4.kuwakumbatia wachina
5.kukosa exposure ya kimataifa
6.kukosa uungwaji mkono wa ndani ya nchi.
Wito wangu jpm a some alama za nyakati ajue kabisa yeye hana misuli ya kusustain pressure ya wazungu kama Uhuru kenyata //
Jpm aache kuamini uongo anaopewa na watu wanaojiita MATAGA Hawa wanampotosha siku akisimama kwenye vizimba vya mahakama ya umoja wa mataifa mataga hayatakuwepo atabaki peke yake.
C Cm wanamchora siku kikinuka watajitenga nae jakaya na mkapa wana base kubwa nje ya nchi kumzidi wanajua ana haribu pengine hawamshtui kwa makusudi ya kimkakati.
Muda wa tume huru ya uchaguzi ni sasa msisubiri watanzania wamwage damu //dont under estimate Tanzanias kwamba mtawadhibiti kwa police na jeshi
Kwanza siku hizi majeshi ya afrika yana akili wakiona hali ya umwagaji damu inanukia wanamuasi dikteta na kujiunga na wananchi mifano ni
Misri
Zimbabwe
Sudani Ccm na jpm muda ni sasa wekeni mazingira salama ya uchaguzi sasa historia itawakumbuka vema don't Wait to learn in a hard way.
Wewe unaogopa mahakama unapotenda haki?,acha woga wa kijinga ,muache afanye anachokiamini ,ni kiongozi wa taifa ,afanye ,asifanye muda ukifika ataondoka mtaingia nyie mliozoea kushikishwa ukuta na wazungu mtashikishwa
 
Kwenye uchaguzi wa Kenya uliomwaga damu mpk kupelekea Uhuru kushtakiwa the Hague na hatimae wakapata katiba mpya (learning in a hard way) Uhuru alikoswakoswa kifungo sio kwasababu hakuwa na hatia hapana sababu zilikuwa hizi
1.Kenya ni heaven ya wazungu toka zamani na UK pekee imefanya uwekezaji mkubwa hivyo walitaka kumdisplin UK ili akili zimkae vizuri ili Kenya iwe salama na uwekezaji wao uwe salama ndio tumeona wenzetu wamepata katiba mpya na mambo Kenya ni shwari.
2.Baba yake UK ndie aliyewakaribisha wazungu na kukumbatia siasa yao ya kibepari hivyo kimsingi wanaiheshimu familia ya UK hivyo lengo halikuwa kumfunga Bali kumtingisha na kumpa displini.
Tofauti ya UK na jpm ni hii
Siku watz wakachinjana kama Kenya na JP akapelekwa ICJ hatoki watamfunga sababu ni hizi
1.Sera zake za uchumi Zimekuwa machukizo kwao wazungu
2.Hali ya demokrasia nchini ni DOA
3.Kuwaita mabeberu wazungu ni kuwatonesha vidonda vya kina mwl nyerere vilivyoanza kupona karne ya 21
4.kuwakumbatia wachina
5.kukosa exposure ya kimataifa
6.kukosa uungwaji mkono wa ndani ya nchi.
Wito wangu jpm a some alama za nyakati ajue kabisa yeye hana misuli ya kusustain pressure ya wazungu kama Uhuru kenyata //
Jpm aache kuamini uongo anaopewa na watu wanaojiita MATAGA Hawa wanampotosha siku akisimama kwenye vizimba vya mahakama ya umoja wa mataifa mataga hayatakuwepo atabaki peke yake.
C Cm wanamchora siku kikinuka watajitenga nae jakaya na mkapa wana base kubwa nje ya nchi kumzidi wanajua ana haribu pengine hawamshtui kwa makusudi ya kimkakati.
Muda wa tume huru ya uchaguzi ni sasa msisubiri watanzania wamwage damu //dont under estimate Tanzanias kwamba mtawadhibiti kwa police na jeshi
Kwanza siku hizi majeshi ya afrika yana akili wakiona hali ya umwagaji damu inanukia wanamuasi dikteta na kujiunga na wananchi mifano ni
Misri
Zimbabwe
Sudani Ccm na jpm muda ni sasa wekeni mazingira salama ya uchaguzi sasa historia itawakumbuka vema don't Wait to learn in a hard way.

MTU mjuaji huwa anaachwa aungue Na jua,
 
You are too emotionally charged to write rationally.
 
Back
Top Bottom