Serikali iwasomeshe wanafunzi waliochaguliwa kusoma diploma ualimu sekondari kwa sayansi 2016

mzee wa giningi

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
519
336
Nichukue nafasi hii kuiomba serikali kuwapa ufadhili wanafunzi wote waliochaguliwa vyuo vya serikali kusomea diploma ya ualimu wa sayansi ili kuwasaidia hawa wanafunzi wasome maana wengi hawawezi kujilipia kufatana na gharama za masomo kuwa kubwa hii itasaidia kuziba pengo la upungufu wa walimu wa sayansi mfano vyuo vya Kleruu TTC, Monduli TTC nk.
 
ni kweli mkuu...
ila kama hawa wa bachelor wamekosa mkopo tena kozi za ualimu,hao diploma itakuaje?..
ni wiki ya sita vyuoni lakini baadhi ya wanafunzi hawajapata boom
viwanda vikijengwa watasomeshwa usijali
 
Back
Top Bottom