Serikali iwasaidie vijana wanaokaa mitaani bila kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali iwasaidie vijana wanaokaa mitaani bila kazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by rkerage17, Aug 13, 2011.

 1. r

  rkerage17 New Member

  #1
  Aug 13, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaumiza sana kuona kijana akirandaranda mtaani bila kazi tena mhitimu wa chuo,kidato cha sita au cha nne bila kazi halafu anasema anapambana na umasikini. je kwa staili hii kweli tutaendelea hasa kwa vijana ambao ni taifa la leo na kesho? Shuleni ukienda ndio hakuna hata walimu wa kuwafundisha vijana kinachotokea wanafunzi wanawahi kuondoka kwenda majumbani mwao,sehemu za starehe n.k. bila ruhusa kwa sababu hakuna masomo, walimu wa kuwaongoza au kama wapo wanachukulia poa wanafunzi wanaotoroka, ratiba, je kwa jinsi hii tutaingia kwenye ulimwengu wa ushindani hasa kiajira utafiti, biashara na elimu? Tutakunywa wenyewe sumu tunayoitengeneza, tunaomba wahusika hasa serikali ichukue tahadhali kwani tukiendelea hivi tutakuwa wasindikizaji tu siku zote.
   
 2. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Unamuomba nani wewe? Nani anakusikiliza? Hiyo ndiyo taabu ya wabongo. Dai haki yako.
   
Loading...