Serikali iwapatie viwanja timu ya "Tanzanite" imeing'arisha Tanzania

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,704
Hakika Timu ya Taifa ya Tsnzanite inastahili Pongezi za dhati kwa juhudi kubwa walioonyesha ktk Michuano ya COSAFA Under 20 huko Afrika ya Kusini na Kutwaa Kombe la Ubingwa kwa Kuichabanga Zambia 2-1.

Namwomba Mh.Rais wetu awafikirie Vijana hawa japo Viwanja vya kujenga kule Dodoma kama alivyofanya kwa Taifa Stars.

Vijana hawa wamelitangaza Vema Taifa letu na kutuletea Kombe.
 
Hakika Timu ya Taifa ya Tsnzanite inastahili Pongezi za dhati kwa juhudi kubwa walioonyesha ktk Michuano ya COSAFA Under 20 huko Afrika ya Kusini na Kutwaa Kombe la Ubingwa kwa Kuichabanga Zambia 2-1.Namwomba Mh.Rais wetu awafikirie Vijana hawa japo Viwanja vya kujenga kule Dodoma kama alivyofanya kwa Taifa Stars.Vijana hawa wamelitangaza Vema Taifa letu na kutuletea Kombe.
Naunga mkono hoja. Ndugu mto mada umeongea kitu cha msingi sana, ambacho matokeo yake ni kujenga ARI kwa wanamichezo wetu...
 
Safi sana Tanzanite. Wameliondolea aibu taifa letu, Taifa Stars walicheza mechi tatu kule Misri na wakaambulia patupu.

Serengeti Boys wakacheza mechi tatu hapa Dar na wakaambulia patupu. Bravo Tanzanite.
 
Back
Top Bottom