peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,810
- 21,411
Elimu ya Tanzania imeanza kuzalisha wasomi wa aina yake.
Ngono kwenye vyuo vya elimu ya juu imesjika kasi na inaxalisha wasomo wa hovyo. Serikali iunde taasisi mfano NECTA itakayo tunga na kusimamia matokeo ya wanachuo nchi nzima.
Mitihani ya darasa la nne, darasa la saba, kidato cha pili, cha nne na cha sita mitihani inalindwa kwa mtutu wa bunduki na TISS . Inakuaje mitihani ya vyuo vya elimu ya juu serikali imewaachia watu fulani kutumia nafasi hizo kutobolea wasichana na kuwadhalilisha?
Rais tuliye naye ni asaidie kutatua changamoto hii hali mi mbaya vyouni.