Serikali itumie njia hii kujikinga na Corona bila janga la njaa

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,258
1,541
Habari wadau Poleni kwa msiba wa kwanza wa mgonjwa wa Corona kututoka.
Kwa ufaham wangu na mawazo yangu ya kufikiria jinsi Gan Tanzania tunaweza kupambana na Corona uku shughuli zikiwa zinaendelea nilikua nimewaza ivi

Tanzania tunaweza kupambana na Corona bila kuathir watu wetu Kama tutatumia njia zetu kuringana na maisha yetu tutaweza kupiga atua.

NI NJIA ZIPI TUFANYE
serekal inatakiwa kwanza kutoa elim Nini umuhim wa kujilinda na korona pia hapa ndio somo la uzalendo linatakiwa lifunfishwe ili watu wafaham Nini maana ya kulinda taifa letu na watu wetu. Pili serekal inatakiwa ipunguze misongamano ya watu bila kuathir familiar za watu kwa njaa Kali. Serekal inatakiwa kufunga nchi mzima mtu asitoke njee Ila kwa mkakati mmoja tu Yani kila familiar awepo mtu mmoja tu ambae ndie tegemez kwa familiar aruhusiwe kutoka katika familiar na serekal itengeneze vitambulisho ambavyo vita watambulisha watu ambao wameruhusiwa kutoka nje tu na wengine hawato ruhusiwa watabaki ndani ya nyumba zao Ana fance zao.

Na wale watakao kua wameruhusiwa kutoka nje Basi hawato ruhusiwa kujichanganya Tena na familiar zao ambazo zimetengwa ndani kuepusha milipuko Ila watatafutiwa maeneo ambayo watakaa kwa muda wote huu wenye milipuko mpaka pale milipuko itakapo Isha.

WATU AMBAO WATARUHUSIWA KUTOKA KWAO WATAIFADHIWA WAPI

Watu ambao watakua tegemez wataweza kuifadhiwa kwa kupewa mahema au kukaa mashulen kila mmoja na darasa lake au Hema lake hawato ruhusiwa kujichanganya na familiar ZAO ila tu kuwapelekea maitaj muhim na pia anae enda kuonana na familiar yake lazima ajikinge kwa kuvaa mask. Pia familia zingine ambazo zina nyumba Zaid ya mbili au tatu wanaweza wasiende kukaa Gest Ila wakachagua nyumba moja wanakaa familiar ya nyumbani tu na ingine wakakaa watafutaji Ila lazika serekal ijirizishe kwa kupitia wajumbe na serekal za mitaa.

Pia Serikali itatakiwa kila siku kuwakagua watu ambao wanavibal vya kutoka nje na itunge azabu Kali kwa wote watakao kiukaa agizo ili

Nimeona ivi itatusaidia kidogo kupunguza misongamano sababu Kuna watu hawana majukum yoyote wanazunguka tu bila hata sababu ya msing hao ndio wanao takiwa waziwiwe sababu hawato kua na athar zozote. Katika nch pia nch itaweza kukocroo mikusanyiko isio kua na faida

Aya ni mawazo yangu tu Kama na wewe unayo unaweza kuchangia kwa niaba ya taifa huenda serekal now inawaza nn ifanye Ila mawazo yako yakawa jibu kwao kuushinda huu ugonjwa Sio nguvu inayo itajika ni akili na mungu kwanza

Mungu ibariki Tanzania Sasa
 
We were praising Jiwe, where is he now? We are perishing like fools! Wait and see!

You're the Maker of your own destiny
 
Hii ndo ngumu zaidi. Bora tufuate utaratibu uliopendekezwa wa kufunika pua na mdomo na kunawa mikoni. Kwa vile tunaupungufu wa barakoa inabidi tubuni kofia kama za wajapani.
 
Natarajia lockdown muda wowote kuanzia sasa,,
Na hapo ndio itakuwa mwanzo wa mwisho,,
 
Corona inaanza kuchanganya na vitendea kazi hatuna!!! Tutasali kama wahispania muda si mrefu.
Mkuu kwa trend hii Dar kufanya muda si mrefu.
 

Attachments

  • IMG-20200331-WA0032.jpg
    IMG-20200331-WA0032.jpg
    87.6 KB · Views: 1
Back
Top Bottom