Serikali itumie maji yaliyotumiwa kunawa kama sample study ya maambukizi ya Covid-19

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,334
2,000
Naomba kushauri wizara husika kupima yale maji yaliyotumika kunawia mikono katika maeneo yenye concentration ya watu, ili kuweza kugundua kiasi cha maambukizi ya Covid 19.

Hii itasaidia serikal kujua wapi kinaconcentration kubwa ya maambukizi kwa haraka na kuchukua hatua mapema.

Kupima mtu mmoja moja ni vigumu sana ila kuchukua sample ya maji yaliyokwisha tumiwa kunawia na watu wengi inaweza saidia kugundua kwa haraka wapi kunamaambukizi makubwa na wapi kunamaambukizi kiasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

KweliKwanza

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
3,212
2,000
Kupima hivyo ni ngumu, nje wanaweza kudedicate kupima ila sio hapa, sio ujuzi tu bali ni kazi sana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

BUSH BIN LADEN

JF-Expert Member
Mar 16, 2019
2,589
2,000
Nasikia huyu virus ameundwa kwa fati na protin so unaponawa kwa maji na sabuni inaikatakata hii fati na logic ya kunawa kwa maji na sabuni kwamba sabuni ina kemikali(sio yule msanii) inayoondoa mafuta yaliponata. So hapa sidhani kama watampata huyo mdudu maana amesha katwa katwa na sabuni
 

mujunwa

JF-Expert Member
Mar 25, 2016
397
500
heradius12, Sasa ingekuwa hivyo hata Wachina na wazungu wangefanya hivyo . Pia ukipima hayo maji ambayo watu wengi wamenawa , hata kama ungekuta COVID - 19 utajuaje nani alikuwa mgonjwa au unataka mtu akienda kipima anawe maji na sabuni halafu maji aliyonawa nd'o apimwe ? Umejitahidi kuwaza kitu kipya lakini hakitekelezeki .

Sent using Jamii Forums mobile app
 

sacred wall

JF-Expert Member
Aug 9, 2017
702
1,000
Can you ascertain the effect of sanitizers, soaps and such reagents on the virus texture (proteins, lipids, RNA etc) in relation to the test method used?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom