Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Habari wadau!
Nimepokea taarifa kuwa ni muda sasa malori yanapita kutoka Kyela kwenda isikojulikana yakiwa yamesheheni makaa ya mawe yanayotoka katika mgodi wa makaa ya mawe wa Kiwira.
Ikumbukwe mgodi huu ulifungwa kwa kashfa katika serikali ya awamu ya Tatu ya rais mstaafu Benjamin Mkapa.
Baada ya kufungwa halijatoka tangazo la kuufungua mgodi huo na nani anamiliki ila maroli makubwa yale ya tani 40 yanapita na mzigo inamaana yanachimbwa kimya kimya na kamouni hewa au kuna utaratibu gani?
Au Ben kapewa huo mgodi? Na unalipa kodi?