#COVID19 Serikali itoe tamko suala la maziko ya watu waliokufa kwa COVID-19 au waliokuwa na changamoto ya upumuaji

Haya mabasi ya mwendokasi ni makubwa ila kama wangeagiza na mengine madogo kwa route tofauti ingekuwa bora sana kwani bado demand ni kukubwa sana

Kama unaona watu wanakosa kupanda bus walilotarajia basi kuna umuhimu wa kuongeza mabasi madogo mengi zaidi

Mataifa mengi makubwa duniani public transport wanachanganya mabasi sio makubwa tu
Tuamke twende na wakati
 
Siku kondakta wa daladala yoyote ambaye kwa wastani kwa siku anapokea nauli na kurudisha chenji za abiria zaidi ya 1000 kwa siku amelazwa au kufa kwa Covid ndo nitaamini huo ugonjwa wenu ni hatari. Vinginevyo mnaokomalia hizi habari za Corona nahisi aidha mnalishwa na waume zenu au mnakaa kwa shemeji zenu. Mwanaume anayejipambania kupata kipato hawezi kuamka jumatatu asubuhi anawaza Corona tu. Ficheni upumbavu wenu basi, sio lazima kuu expose.

SIFA YA MWANAUME NI KUWA NA MITAZAMO KAMA HII.
 
Haya mabasi ya mwendokasi ni makubwa ila kama wangeagiza na mengine madogo kwa route tofauti ingekuwa bora sana kwani bado demand ni kukubwa sana

Kama unaona watu wanakosa kupanda bus walilotarajia basi kuna umuhimu wa kuongeza mabasi madogo mengi zaidi

Mataifa mengi makubwa duniani public transport wanachanganya mabasi sio makubwa tu
Tuamke twende na waka

Subiri siku ukihama kwa dada yako anayekulisha au siku dada yako akiachika kwa shemeji yako na imani hutakuwa unawaza Korona muda wote.

ila kwa sasa unahaki zote za kuwaza Korona maana huna kazi unayoifanya zaidi ya kubadilisha stesheni tu ya TV.

Ila huu ujinga jitahidi kuuficha
 
Sorry
Sijaongelea suala la corona kabisa hapo beside I don’t even live in Tz buddy
Umeamka na hasira zako tu wala sio issue nyingine
Wakati mwingine mtu unakuwa na stress za maisha unatafuta pa kuzimwaga

Nimeongelea kuhusu public transport na kadhia zinazowapata ila umefura na kutupa ngumi hewani ukijibu mtu humjui
Hapo ni kama unaongea na mtandao tu
 
Mbona hata Condom elimu ilitolewa na sasa watu wameshaelewa.
Sizungumzii vitu kama kuvaa barakoa kwa kuziba mdomo tu na kuachia pua bali nazungumzia vitu kama kunawa mikono kabla ya kuvaa na kuvua barakoa,ni vp uvue barakoa n.k ila sasa ukiangalia unaona kuhimizana kuvaa barakoa tu.
 
Sina takwimu zozote lakini hali ya vifo vinavyotokea sasa hivi, siyo ya kawaida.

Inatia hofu kuona harakati za shughuli nzima ya msiba ni zile zile za kawaida.

Hata Viongozi wa Dini wameamua kumjaribu Mungu kwa kushindwa kutoa tahadhari ili kuwalinda baadhi ya watu.

Natoa rai kwa Serikali yangu, iseme neno kidogo kuhusiana na suala la misiba.
Haina shida mwambieni Mama atangaze lockdown nchi nzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kupotosha kuvaa barakoa hakuhitaji kunawa mikono.
Kumbe hata wewe hujui hilo sasa huko mtaani hali ikoje? ndio maana nikasema watu hawajui uvaaji sahihi wa barakoa na matokeo yake ni kueneza maradhi badala ya kujikinga.
 
Siku kondakta wa daladala yoyote ambaye kwa wastani kwa siku anapokea nauli na kurudisha chenji za abiria zaidi ya 1000 kwa siku amelazwa au kufa kwa Covid ndo nitaamini huo ugonjwa wenu ni hatari. Vinginevyo mnaokomalia hizi habari za Corona nahisi aidha mnalishwa na waume zenu au mnakaa kwa shemeji zenu. Mwanaume anayejipambania kupata kipato hawezi kuamka jumatatu asubuhi anawaza Corona tu. Ficheni upumbavu wenu basi, sio lazima kuu expose.

Yule kichaa angetamani apate hata sekunde 2 aje akwambie corona is real!
 
Kumbe hata wewe hujui hilo sasa huko mtaani hali ikoje? ndio maana nikasema watu hawajui uvaaji sahihi wa barakoa na matokeo yake ni kueneza maradhi badala ya kujikinga.
Wewe unajirusha ufahamu tu.
 
Siku kondakta wa daladala yoyote ambaye kwa wastani kwa siku anapokea nauli na kurudisha chenji za abiria zaidi ya 1000 kwa siku amelazwa au kufa kwa Covid ndo nitaamini huo ugonjwa wenu ni hatari...
Wewe inahtaji ukapimwe akili yako, hata panya ankuzidi akili. You are an imbecile. You should be an MP ikakae dodoykarobu na Milembe hospital
 
Subiri siku ukihama kwa dada yako anayekulisha au siku dada yako akiachika kwa shemeji yako na imani hutakuwa unawaza Korona muda wote.

ila kwa sasa unahaki zote za kuwaza Korona maana huna kazi unayoifanya zaidi ya kubadilisha stesheni tu ya TV.

Ila huu ujinga jitahidi kuuficha
Imekuja kwako kimakosa

Aliye ileta ni huyu mwenye uzi anayetaka watu waanze kuzikwa hivyo hivyo tu.

Huyo ndio nilikuwa nimemlenga

Ila wewe kwenye usafiri huko sina shida napo.
Pole
 
Siku kondakta wa daladala yoyote ambaye kwa wastani kwa siku anapokea nauli na kurudisha chenji za abiria zaidi ya 1000 kwa siku amelazwa au kufa kwa Covid ndo nitaamini huo ugonjwa wenu ni hatari.

Vinginevyo mnaokomalia hizi habari za Corona nahisi aidha mnalishwa na waume zenu au mnakaa kwa shemeji zenu. Mwanaume anayejipambania kupata kipato hawezi kuamka jumatatu asubuhi anawaza Corona tu.

Ficheni upumbavu wenu basi, sio lazima kuu expose.
Wewe utakuwa kichaa kabisa kama wale aliowasema Diallo!
 
Back
Top Bottom