Serikali itoe tamko la kushusha bei ya viwanja ujenzi nchini

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,163
787
Title kwa uchache inajitosheleza, serikali '-hii impya itantaze, na iwe marufuku kuuziana viwanja bei mbaya, Mbagala 8-10 mil. fu.ck it, haiwezekani, mtu ana shamba DSM, ni ujinga, kwa nn nisijenge Mtoni?

kwa taarifa ni kwamba, mjini tutarudhikana tu...kubanana dsm ni kazi moja tu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu karibu hapa mtaani kwetu wanauza kuwanja mil 700 upo!wewe unalia na 8-10mil haaaa akina Masamaki wa TRA na TPA watakucheka.Nakuunga mkono bei ya viwanja ni kubwa sana hii ni secta nyingine ila ufisadi.ndio unaobandisha bei za vitu.kwani wao bei hawabagain
 
Back
Top Bottom