Robinhomtoto
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 238
- 244
Wadau mtangazaji wa ITV ndie aliyemwibua Mzee Ngosha Na kututangazia kuwa ndie mchoraji wa Nembo ya Taifa.Tulio lilimwibua Waziri wa Afya Na kuanza kumpatia matibabu Mzee Ngosha.Waziri wa Afya kama serikali hakututangazia watanzania kama kuna ushahidi wa kuthibitisha kuwa Mzee Ngosha ndio kweli aliyechora Nembo ya Taifa Na kwamba serikali inamthibitisha.Siku 3 baadae akajitokeza MTU mwingine akasema Mchoraji wa Nembo ya Taifa in Mzee Kabati Na sio Mzee Ngosha.Wasiwasi wangu in namna Serikali inavyojitokeza Na kuanza utekelezaji bila kujiridhisha.Nilitegemea serikali kupitia kumbukumbu zake ingetoa Tamko la kuthibitisha kumtambua mhusika Kwa nyaraka zilizopo sifhani kama wangejitokeza watu wengine kudai kuwa wao ndio wahusika.Serikali itoe tamko Kwa nyaraka.