Mwana-G
Member
- Jan 9, 2016
- 45
- 15
Mtu mwenye busara siku zote hutanguliza masuala ya kiutu kabla ya faida atakayopata juu ya kile atakachofanya, sku zote utu ni bora kuliko jambo lolote maishani.
Jambo lolote duniani linaweza kufanywa kwa wakati wowote ila ni machache tuuu hufanywa kwasababu ya kuogopa matokeo ya mambo hayo.
Naendelea kumsihi na kumuomba Rais wangu mpendwa mchapakazi kuwa swala la kurudiwa uchaguzi zanzibar linawezekana ila kwasababu ya athari zake naomba uliweke pembeni kwasababu uchaguzi huo utaleta athari zitakazo chafua hadhi yako kumbuka nafsi moja ya mtu inathamani mbele ya mungu kuliko urais wa dr shein, Nafsi moja tu ya mtu inahadhi kubwa mbele ya muumba kuliko urais wa maalim.
Nimekuandikia wewe mh Rais kwasababu ni wewe pekee unayeaminika na maskini na wanyonge kuwa ndiye mtetezi wao wakweli.
CCM NI CHAMA KITAKUFA ILA ZANZIBAR NI NCHI ITADUMU. UHAI WA WATU NI BORA KULIKO UHAI WA CHAMA KWAMISINGI YA KIUTU.