Serikali itazame upya mfumo necta ulivyo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali itazame upya mfumo necta ulivyo.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Frank lwakatare, Aug 13, 2012.

 1. F

  Frank lwakatare Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aiwezekani nikakaa shuleni kwa miaka 4,7 au 2 eti kwaajili ya siku mmoja tuu ya paper.yan mwanafunzi nakaa darasani nasoma kwa ajili tuu niufaulu mtihani mmoja.ainiingi akilini hata kidogo.ni bora serikali watazame upya kama wanaweza kupata namna nyingine ya kupata average ya mwisho ya mwanafunzi kuliko kutegemea mtihani mmoja tuu ndo umpime mwanafunzi,wameweka hizo mock na pre necta lakini yote bado yale yale tuu aina tija.je inakuja mwanafunzi akasoma kwa bidii kwa miaka yote hiyo alafu siku ya paper akapatwa homa inamaana huyu ndugu miaka yote hiyo ya shuleni alikuwa afanyi chochote kwani hata hilo paper atofanya na itabidi asubirie mwaka ujao afanye paper..me nadhani paper la form2,paper la standard 4 na continous assesment za class zinaweza kutumika katika kupata matokeo ya mwisho na sio kama ilivyo sasa..ahsanteni
   
 2. k

  king roja Senior Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sawa unavofikiria wewe ila siungi mkono hoja
   
 3. k

  kiliochangu JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 1,122
  Likes Received: 774
  Trophy Points: 280

  Nadhani hauna uelewa wa kutosha kuhusu mchakato wa kutathimini matokeo. Matokeo hayategemei mtihani mmoja tu. Kuna continuous assessment zinazotayarishwa na walimu wenu mashuleni katika uteartibu maalumu ambayo utumika (mfano F2 examinations, End of term F2, Mock etc) ambayo ni 50% ya kujadili matokeo ya mwisho.
  Ila kama utafanya udanganyifu inakula kwako
   
 4. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  wewe mleta mada, ungependekeza fayanyeje? tofauti na utaratibu wa huu unaendelea.
   
 5. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Aisee.........yaani wewe unasomea mitihani kumbe? Oh SA LALEE
   
Loading...