Taifa chafu hili, duh
Kibanda kiko wapi hapo mkuu?Nilipita sehemu moja nikaona jinsi halmashauri yao imewajengea machinga vibanda vya biashara
View attachment 1883547
View attachment 1883552
... Upigaji tu hamna kitu hapo!Nilipita sehemu moja nikaona jinsi halmashauri yao imewajengea machinga vibanda vya biashara
View attachment 1883547
View attachment 1883552
Hili jengo ni machinga complex liko katikati ya mji, lina vibanda 50 na vyoo. Sikuchukua picha nyingi lakini ninaweza kupata picha zaidi.Kibanda kiko wapi hapo mkuu?
Sio mall?Hili jengo ni machinga complex liko katikati ya mji, kina vibanda 50 na vyoo. Sikuchukua picha nyingi lakini ninaweza kupata picha zaidi.
Kind of but I like it’s design. Huu ni mji mkongwe unafanyiwa reformation.Sio mall?
Hata Mimi nimependa hio wood cladding.Kind of but I like it’s design. Huu ni mji mkongwe unafanyiwa reformation.
Acha watu wajitafutie maisha nchi hi ilashaoza tu, masikini ndo wanafuatiliwa tu ila ufisadi wizi rushwa inaendelea miongoni mwa CCM, wanapeana vyeo na ajira nzuri tu.Naomba serikali yetu ya mama samia ifanye juu chini kuondoa vibanda barabarani.
Mji unazidi kuharibika naona wameanza hapo Ilala mtaa wa uhuru ukuta wa Hospitali ya Amana kuweka vibanda na meza za kudumu
View attachment 1883535
Nikipata picha zaidi nita ku tagHata Mimi nimependa hio wood cladding.
WatuNaomba serikali yetu ya mama samia ifanye juu chini kuondoa vibanda barabarani.
Mji unazidi kuharibika naona wameanza hapo Ilala mtaa wa uhuru ukuta wa Hospitali ya Amana kuweka vibanda na meza za kudumu [URL][/URL]
View attachment 1883535
Watu wanajitafutia riziki,Nilipita sehemu moja nikaona jinsi halmashauri yao imewajengea machinga vibanda vya biashara
View attachment 1883547
View attachment 1883552
Watu wanajitafutia riziki,wafanyeje Sasa?Naomba serikali yetu ya mama Samia ifanye juu chini kuondoa vibanda barabarani.
Mji unazidi kuharibika naona wameanza hapo Ilala mtaa wa Uhuru ukuta wa Hospitali ya Amana kuweka vibanda na meza za kudumu.
View attachment 1883535
Kila Mwenyekiti wa mtaa afanye jitihada za kuwajengea machinga eneo la biashara. Liwe na vyumba kama 50 na ofisi ya utawala wa jengo. Mishahara itatoka kwenye kodi na kila mtu atafanya biashara kwa heshima.Unajari muonekano kuliko ridhiki ya mtu? Hivi wakivitoa na kubaki patupu unahic nini kitaongezeka hapo
Acha watu wainjoi nchi yao bhana walikotoka nimbali
Unajari muonekano kuliko ridhiki ya mtu? Hivi wakivitoa na kubaki patupu unahic nini kitaongezeka hapo
Acha watu wainjoi nchi yao bhana walikotoka nimbali
Aaah kumlazi ulimu hauna mkonyosiku wakija kujenga kibanda mbele ya nyumba yako hapo ndio utajua unavyosema ridhiki badala ya riziki
Siku mtu akiwapitia na gari machinga hata 10 walioko pembezoni ya barabara mje hapa kusema ni kazi ya Mungu.Unajari muonekano kuliko ridhiki ya mtu? Hivi wakivitoa na kubaki patupu unahic nini kitaongezeka hapo
Acha watu wainjoi nchi yao bhana walikotoka nimbali