The seer
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 407
- 690
Kodi ni chanzo kikuu cha mapato ya Serikali ili kuendeleza shughuli mbalimbali za serikali hivyo kulipa kodi ni wajibu wa kila mwananchi kwa maendeleo ya taifa na kila aina ya kodi huwa na lengo au kusudi katika uchumi
mfano ziko kodi maalum kupunguza matumizi ya bidhaa fulani zipo zingine kazi yake kupunguza tofauti ya kipato kati ya masikini na matajiri.
Hivyo mimi kama mtalaamu wa uchumi wa jamii nashauri serikali ianzishe kodi zifuatazo kwa malengo yafutayo;
1.KUZALIANA TAX mtu atakayezaa watoto zaidi ya wanne alipe kodi kodi hii lengo lake kupunguza kuzaliana kwasababu kuzaliana sana kunasababisha low per capital income pia itasaidia kusoma namba vizuri.
2.LIVING TOWN TAX kodi hii itozwe kwa wale wanaoishi mjini tu ili kupunguza watu mjini pia kucontrol rural to urban migration pia kodi itasaidia kuinua kilimo vijijini pia itasaidia kujua kusoma namba.
3.KODI YA WAZURURAJI wako watu wanashinda mjini wanazurura pia kufanya kazi walipe kodi.
4.HARUSI TAX michango ya harusi itozwe kodi maana watu wakitaka kufunga harusi wanaleta usumbufu kwa wengine utasikia singo laki 2 double laki utafikiri hela zinachumwa kwenye miti,funga harusi ya kawaida.
4.MIMBA TAX hii kodi itozwe kwa wasichana waliopata mimba bila kujua nani mhusika Wa mimba itasaidia kupunguza mimba za ghafla na watoto wa mitaani.
5.KUSOMA NAMBA TAX hii iwe kodi maalum itozwe maalumu kufungua ufahamu wa watu maana kuna watu ufahamu umeganda ukitozwa kodi hii lazima akili itafunguka utaanza kujitambua.
Unakaribishwa kwa maoni na kukosoa please kosoa kisomi maana mimi ni msomi nina masters ya local economics uchumi wa kienyeji.