Serikali itangaze gharama za sherehe Uhuru Day


Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
43,144
Likes
40,508
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
43,144 40,508 280
Serikali ituambie sherehe za Uhuru mwaka huu zina gharimu kiasi gani, na kwanini hizo pesa za sherehe hazikwenda kufanya shughuli za maendeleo?
Au tayari tumesha kamilisha kazi ya kujenga nchi?
 

Forum statistics

Threads 1,272,335
Members 489,924
Posts 30,448,060