Jaman hii issue ni tatizo kubwa sana .. Dada yangu wapekee katika familia yetu ameugua ugonjwa wa Kusindwa kupumua mpaka aka Kimbizwa kwenye Mashine ..bahati nzuri tuli mfukiza kwa wingi na kunywa tangawizi na malimao.. Ghafla yeye akapona ika muanza binti yake tena yaan nimetoka kwenye pilika pilika kichwa kina uma.

Mungu kasaidia wamepona wote..
 
Sasa kama ushajionea yte hayo siujikinge tu mkuu adi kujikinga unataka uambiwe na serikali???????
Nakinga ila najua kuna wanao puuzia kwa kusikiliza politcs alafu mwoshoe hali kiwa too intensive hata mimi nitaja ishia kwenye point of no return. kama ikifikia hatua kila mtu ana kohoa au hata mimi ninaye vaa na kujikinga nakuwa kwenye high risk zaidi
 
Anaepuuzia acha apuuzie tu
 
Jaman hii issue ni tatizo kubwa sana .. Dada yangu wapekee katika familia yetu ameugua ugonjwa wa Kusindwa kupumua mpaka aka Kimbizwa kwenye Mashine ..bahati nzuri tuli mfukiza kwa wingi na kunywa tangawizi na malimao...
Pole sana Mkuu hali inatisha sana! Jiwe anawaza Uchumi wa kati tu.
 
Week iliyopita nilipoteza babu na bamkubwa...unaeza jua utani mpaka Kila mtu umguse nyumbani kwao...this shit is real
 
Jaman hii issue ni tatizo kubwa sana .. Dada yangu wapekee katika familia yetu ameugua ugonjwa wa Kusindwa kupumua mpaka aka Kimbizwa kwenye Mashine ..bahati nzuri tuli mfukiza kwa wingi na kunywa tangawizi na malimao.
Unataka WHO wafanye nini hasa! Magufuli keishasema ugonjwa Upo na tutumie mbinu za kujikinga
 
Mnataka mzee afanye nini? Tumeshaambiwa mara kibao hata Jafo ameshatangaza awamu nyingine ya nyungu,kila MTU aombe kwa imani yake hili janga lipite mbali...tumeona Kenya walijifungia je iliwasaidia? Na nchi za ulimwengu wa kwanza nyingi tu zilijifungia je iliwasaidia? Halafu mzee anavyokataa chanjo tusidhani ni mjinga au anakaidi hivihivi tu mzee ni taasisi na ana information za kutosha kuhusu hiyo chanjo.....kilichopo tuache kulaumiana . Nionavyo mzee anajitahidi sana kuondoa hofu na hofu inaua kuliko .
 
Unajua hawa ni wale wanaomchukia JPM na wanamsingizia. Kila siku anasema tujilinde.
 
Kama ulipangiwa tangu pindi tu ulipozaliwa utaugua huu ugonjwa hakuna kukwepa. Kama ulipangiwa utaupata na utapona ndio ilivyopangwa. Na kama ulipangiwa utakufa nao hamna nama.

Tuhurumiane, Tusahamehane na Tuombeane!

Best friend of Jesus!
 
Back
Top Bottom