We jitoe ufahamu tu, akivuta ndugu yako wa karibu ndio utapata akili kujua tahadhari ya nini!Sijaelewa tahadhari ya nini.
Utaelewa siku itapomchukua mwenyekiti wenu anawaefanya muwe wajinga kiasi hiki kwa kujiaminisha kuwa haupo.Sijaelewa tahadhari ya nini.
Nahisi kuna ka movement cha wafanyabiashara na mabeberu wanaotaka kuirudisha covid 19 kwa kasi ili wapige hela.
SIO KWA TANZANIA YA LEO, WATAKWAMA
Tunajua lakini tunahitaji coordinated effort ya serikali, ikibidi kuzuia mikusanyiko, nkHivi kuna mtanzania hasiyejua namna ya kujikinga na gonjwa hili?
Tatizo wewe ni lofa tu loko wa Tanzania. UNgejua Denmark kiliwatokea nini walipochukua msimamo kama wa Tanzania usingeongea hapa.Mkuu,kama wewe unaweza kuvaa barakoa kila mahali na kukaa ndani kaa.,kama unasubiri kuambiwa ujilinde ndio ujilinde karagabaho.Tusilazimishane kujilinda,kila mtu ashinde mechi zake.
Mkuu Kwanza punguza woga kikubwa unafahamu taratibu za kujikinga ni vyema ukazi zingatiaHivi kwa nini hadi sasa serikali bado inafumbia macho ukweli kwamba Tanzania imefikia hali mbaya sana ya maambukizi, kuugua na vifo vinavyotokana na Covid-19? Ni kwa kuwa raisi na voingozi wengine wanaona aibu kukubali ukweli kwa kuwa huko nyuma walitoa kauli zilizoonyesha kwamba Tanzania hatuna Covid-19?...
Wengine muache wehuHivi kuna mtanzania hasiyejua namna ya kujikinga na gonjwa hili?
Tanzania hatuna corona...ipo chache sana...walioenda nje ndio wameileta...'' Alisikika kiongozi mmoja.Hivi kwa nini hadi sasa serikali bado inafumbia macho ukweli kwamba Tanzania imefikia hali mbaya sana ya maambukizi, kuugua na vifo vinavyotokana na Covid-19? Ni kwa kuwa raisi na voingozi wengine wanaona aibu kukubali ukweli kwa kuwa huko nyuma walitoa kauli zilizoonyesha kwamba Tanzania hatuna Covid-19?...