Halitapita hivihivi.Hakuna uzembe ambao huwa haulipwi!mi naona tuache hili jambo lipite tu Hanna haja ya kutoa lawama kwa MTU yeyote
Wataalam wa afya ndiyo wanaua watu! Corona inapenda sana upelekwe hospitali ili ukalale kwa mgongo ikumalize.Rafiki namba moja wa Corona ni kulala kwa Mgongo.Adui namba moja wa Corona ni mazoezi ya mapafu, hili hutofundishwa popote pale. Ambacho utafundishwa kwa wingi sana ni ujinga wa kula malimao na kujifukizia!Wawaachie wataalam wa afya watoe elimu juu ya ugonjwa ,dalili zake ,jinsi ya kujikinga ndio iwe msisitizo na matibabu yake .Kuna watu wanakufa kizembe sana bila kujua kwani muda anaopelekwa hospital tayari mapafu yamekuwa kama ya mvuta sugar na sometimes nothing they can do kwa hiyo stage.Elimu ikiwa ni kuhalikisha wananawa mikono ,wanachukua tahadhari wakiwa na suspected case etc
Hebu niongee moja kwa moja tuelewane
Kwanza achana na hicho kichwa cha habari...
SIDHANI kama unaelewa vizuri masuala ya covid 19, sijui kama umeshaugua huu ugonjwa {MUNGU akuepushe] na sijui pia kama umeshapoteza ndugu wa karibu au rafiki kwa huu ugonjwa [ MUNGU pia akuepushe na hili pia } , Mpaka sasa hivi serikali haipo serioulsy ndio maana hata jumuia za kimataifa zinatutenga.Hebu niongee moja kwa moja tuelewane
Kwanza achana na hicho kichwa cha habari...
Wewe unaamini Corona ipo Tanzania?
Kwa mujibu wa Kaitibu Mkuu wa wizara ya Afya, ni kwamba hakuna Corona Tanzania, sasa wewe unazungmzia Corona ipi y anchi ipi?Nyie mnaoilaumu serikali, tuelezee ninini mnataka kifanyike kumaliza tatizo la covid? Toeni solution.
Acha kudanganya watu, mtu hawezi kuvuta pumzi unamwambia akafanye maziezi? Wakati oxygen haifiki hata kichwani ?Mtu hana fahamu unamlisha malimao. Acha kudanganya watu wewe. Wewe unayejiona mzima usisubiri uambiwe ufanye sijui maziezi,kula malimao anza kujenga mwili kama ya kuumwa.Ukiumwa wewe hata hayo malimao hakuna atakaekupa.Wataalam wa afya ndiyo wanaua watu!Corona inapenda sana upelekwe hospitali ili ukalale kwa mgongo ikumalize.Rafiki namba moja wa Corona ni kulala kwa Mgongo.Adui namba moja wa Corona ni mazoezi ya mapafu,hili hutofundishwa popote pale.Ambacho utafundishwa kwa wingi sana ni ujinga wa kula malimao na kujifukizia!
Hakuna corona maana. Tuchape kazi.Watu mitaani wananong'ona kuwa hii kitu inang'ta kimya kimya.
Kuendelea kulikalia kimya hili ni highly irresponsible kwa upande wa serikali
Kwa nini usubiri hadi hatua ya kushindwa kuvuta pumzi ndiyo uanze kuchukua hatua? Yaani unachukua hatua ukiwa katika stage ya kufa?Na ni wapi nimesema kuwa watu wachukue hatua wakiwa katika stage ya kufa?Acha kudanganya watu ,mtu hawezi kuvuta pumzi unamwambia akafanye maziezi?wakati oxygen haifiki hata kichwani ?Mtu hana fahamu unamlisha malimao .Acha kudanganya watu wewe.Wewe unayejiona mzima usisubiri uambiwe ufanye sijui maziezi,kula malimao anza kujenga mwili kama ya kuumwa.Ukiumwa wewe hata hayo malimao hakuna atakaekupa
Ndio elimu watu wanatakiwa kupewa, wasisubiri hapo. So unakuta mpakq.mbunge anafia hotelini kizembe eti anajifukiza shame of.my country hii ingekuwa prevented kabisa kama wangempa right health informationKwa nini usubiri hadi hatua ya kushindwa kuvuta pumzi ndiyo uanze kuchukua hatua?Yaani unachukua hatua ukiwa katika stage ya kufa?Na ni wapi nimesema kuwa watu wachukue hatua wakiwa katika stage ya kufa?
Sijaelewa tahadhari ya nini.Kaandika ujumbe huu hapa chini kupitia twitter:
Ndugu zangu tuchukue tahadhali sana, watu wanakufa sana, hii sio kawaida. Leo hii tu nimepokea taarifa za watu watano ninaowafahamu, Mwenyezi Mungu awapumzishe mahali pema.
Bado una wenge hebu andika tenaKaandika ujumbe huu hapa chini kupitia twitter:
Ndugu zangu tuchukue tahadhali sana, watu wanakufa sana, hii sio kawaida. Leo hii tu nimepokea taarifa za watu watano ninaowafahamu, Mwenyezi Mungu awapumzishe mahali pema.