Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,653
It's like Rich people are aware of this. Ila sisi makapuku tunatumiaga tu akili za kuambiwa kama nyumbu. Leo nmepishana na gar ilikuwa ni kama mtu na familia yake. Wote wamevaa barakoa kwenye gari. Na wamejifungia vioo full ac.
Nikajiuliza sasa hapa nani ni mpumbavu...sisi tunaosubiri Magufuli atuambie tuvae au tusivae barakoa hao hao waliojiamlia kuvaa na kufata taratibu kujilinda na COVID.
Swali lingine nimejiuliza.
Hivi inaicost serikali kiasi gani kuwapa awareness wananchi juu ya kujikinga na COVID-19?