Sasa kama wasingeweza kushinda kwanini aliuwa watu na kuiba kura na kuweka kura fake kwenye masanduku ya kupigia kura? Kwanini alikataa wito wa Mkapa wa kuwepo tume huru ya Uchaguzi na kura kuhesabiwa hadharani?
Kwahiyo unafikiri Upinzani ungeweza kushinda uchaguzi?

By the way mimi siko CCM.
 
Mbona hamtaki kukiri kama wanavyokiri WHO, nyie wababaduaji wa mambo!??? Hata ungefichaje takwimu, kama dude lingekuwepo lingeshatulipukia ileee kitambo vibaya mno tu. That's simple logic, simple Mathematics, and nothing like rocket science ama Einstein genius inayohitajika.
Kulipuka vp unakokusudia wewe?

Point ni kwamba tulitangulia kuacha kutoa takwimu kisha ndio tukaja kudai kuwa corona imeondoka kwa maombi,kwahiyo hapa maombi yanasingiziwa tu na ndio maana hakuna uthubutu wa kupima corona na kutoa takwimu pamoja na kudai hakuna corona.
Kwa ufupi Magu katumia saikolojia ya kumuhusisha Mungu katika hili kwa kudai kuwa Mungu kaondoa corona kupitia maombi ila uhalisia Magufuli ni kawaondoa tu watu hofu maana ndio ilikuwa corona yenyewe wakati ule.
 
Sasa hao wapumbavu kama walimpigia kura huyo anayejiita mwendawazimu kulikuwa na sababu zipi tena za yeye kufanya mauaji, kuiba kura na kutumia kura fake kwenye masanduku ya kupigia kura? 😳
Unajua hata kama kuna ufisadi, upumbavu bado ibabidi uwe na ushawishi fulani kwa mafisadi wenzio na Watanzania wapumbavu kama unavyowaita wakupigie kura.
 
Sasa kama wasingeweza kushinda kwanini aliuwa watu na kuiba kura na kuweka kura fake kwenye masanduku ya kupigia kura? Kwanini alikataa wito wa Mkapa wa kuwepo tume huru ya Uchaguzi na kura kuhesabiwa hadharani?

Tuseme kila kitu kingekuwa sawa na UN, EU wakausimamia uchaguzi. Unafikiri Lissu angekuwa mshindi?
 
Hebu tumia akili japo kiduchu tu. Unadhani kwanini waliiba kama Lissu alikuwa hawezi kushinda? Unadhani kwanini wito wa Mkapa kuwepo kwa tume huru ya Uchaguzi na kura kuhesabiwa hadharani ULIPUUZWA? 😳
1611520537064.jpeg

Tuseme kila kitu kingekuwa sawa na UN, EU wakausimamia uchaguzi. Unafikiri Lissu angekuwa mshindi?
 
Sasa hao wapumbavu kama walimpigia kura huyo anayejiita mwendawazimu kulikuwa na sababu zipi tena za yeye kufanya mauaji, kuiba kura na kutumia kura fake kwenye masanduku ya kupigia kura? 😳

Power many times corrupt, absolutely power can corrupt you absolutely. Even you.
 
Hebu tumia akili japo kiduchu tu. Unadhani kwanini waliiba kama Lissu alikuwa hawezi kushinda? Unadhani kwanini wito wa Mkapa kuwepo kwa tume huru ya Uchaguzi na kura kuhesabiwa hadharani ULIPUUZWA? 😳
View attachment 1685416

Sina hata hizo akili hata kiduchu Mr kejeli. Umejifunza vizuri kutoka kwa Lissu.

Tatizo hamtaki ushauri.
 
Hahahahaha you don’t have any clue of what you’re talking about. Your points to justify what happened on October 28 are very weak.
Power many times corrupt, absolutely power can corrupt you absolutely. Even you.
 
Hahahahaha you don’t have any clue of what you’re talking about. Your points to justify what happened on October 28 are very weak.

Tatizo huna uwezo wa kujadiliana bila matusi, kejeli, dharau. Talking about weak point, unachekesha, unakimbilia kwenye matusi.

Point zako ziwe na nguvu eti sababu ya kejeli zako.

Mandela, Nyerere, na wengine wengi wakidai uhuru hawakutumia hii method.

They kind of rise above that petty stuffs and concrentrate on big picture.
 
Nafikiri Dr Slaa, Nyalandu au Mbowe wangefanya vizuri zaidi. They are dignified, serious, don't look for cheap popularity, mitandao.
Those guys wote uliowataja wasingeweza kutikisa, leave alone kung'oa, foundations na entanglements za uozo, rushwa, ubadhirifu, ufisadi na uzembe katika nchi hii. Imagine kwa ukali wa JPM, hata sasa bado kuna watumishi hawajamwelewa, wangali wanaishi katika nyakati za zilipendwa!??? If president, Dokta Slaa angefaa just kwenye international negative marketability, Nyarandu diversive attention na Mbowe angefaa tu kwa international invasion ya nchi yetu. Nothing more, nothing less. ^Tulimhitaji Rais kama huyu kwa muda mrefu; ngoja twende naye, atatufikisha salama^ in the words of GBL former Arusha MP.
 
Kulipuka vp unakokusudia wewe?

Point ni kwamba tulitangulia kuacha kutoa takwimu kisha ndio tukaja kudai kuwa corona imeondoka kwa maombi,kwahiyo hapa maombi yanasingiziwa tu na ndio maana hakuna uthubutu wa kupima corona na kutoa takwimu pamoja na kudai hakuna corona.
Kwa ufupi Magu katumia saikolojia ya kumuhusisha Mungu katika hili kwa kudai kuwa Mungu kaondoa corona kupitia maombi ila uhalisia Magufuli ni kawaondoa tu watu hofu maana ndio ilikuwa corona yenyewe wakati ule.
Naelekea kukubaliana na wewe iwapo utakiri tu kwamba korona ya Tanzania haiui. Don't ever forget kwamba WHO pamoja na wapiga kelele kama nyie mlisema wazi kwa hatua ya JPM kukataa utanibishaji (^lockdown^), countless dead bodies would be found scattered all over the streets. Umeisahau hotuba ileeee ndeefuu motomoto ya Mr Hai kwamba ^it's just a matter of time^ before JPM in his ^state of denial^ would be forced to accept reality!??? Iko wapi ile mantiki ya methali kwamba: Mficha-ugonjwa mauti humuumbua!??? I think hauko serious. Imagine WHO wao wamefika hatua ya kumnyooshea mikono JPM --- they are unsure of what's happening. Another way of saying they cannot actually figure out a better way of prevarication and faking it anymore, for their little eyes betray them. Who are you, then!???
 
Those guys wote uliowataja wasingeweza kutikisa, leave alone kung'oa, foundations na entanglements za uozo, rushwa, ubadhirifu, ufisadi na uzembe katika nchi hii. Imagine kwa ukali wa JPM, hata sasa bado kuna watumishi hawajamwelewa, wangali wanaishi katika nyakati za zilipendwa!??? If president, Dokta Slaa angefaa just kwenye international negative marketability, Nyarandu diversive attention na Mbowe angefaa tu kwa international invasion ya nchi yetu. Nothing more, nothing less. ^Tulimhitaji Rais kama huyu kwa muda mrefu; ngoja twende naye, atatufikisha salama^ in the words of GBL former Arusha MP.

Jasmoni, wewe ni CCM ilikubali vipi kuwe na uozo kama huu? Ilibidi tuwe level moja na Malaysia, Singapore.
 
Kwani tahadhari za kuchukua dhidi ya COVID ni kujifungia tu? Umeona hamasa yeyote ya watu kunawa mikono kila mara au kutembea na sanitizer/ kuvaa barakoa.

Katika matatizo ya kiuchumi ndiyo maana tunapata misaada na mikopo ili tuweze kupambana na ugonjwa.
Za kuambiwa changanya na nako tu....
Aliyelala hata usimuamshe...we mpoteze

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Bak tunajua Covid ipo. Usiangalie Rais anafanya nini. Jiongeze.

Wewe ungekuwa Rais ungefanya vipi?
Wahusika wangesema hadharani
Watanzania huyu mgeni yupo chukueni tahadhari!
Epukeni mikusanyiko isiyokuwa na lazima etc
Tatizo linakuja huyu anasema hivi anakuja mwingine anasema huyu mgeni tushamfukuzia mbali,sijui nawashanga watu wanavaa mabarakoa ...maneno ya majigambo
Any way ....kikubwa ni kujiongeza mwenyewe
Kila mtu ataubeba mzigo wake

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom