Serikali isipotoa ripoti ya mabilioni ya uswisi, bungeni patachimbika~wabunge.

Huu utafiti kama ni kuanzia 1970 si utawaibua mpaka wale tusio watarajia. Maanake kama watu wanaiga mavazi na sauti kwa nini basi hata kuhifadhi fedha huko ughaibuni wasiwe wameiga?
 
ni mwanzo mzuri, ila hata hivyo wamecheleweshewa sana; haihitaji mwaka mzima kutajiwa jina tu la mwenye a/c nje ya nchi ambayo pesa zake zinautata; hata hivyo atakapotaja huyo aliyeombwa afanye hivyo, kuna hatua gani zimeandaliwa kwa hao watu? hiki ndo watz tungependa kukisikia na kama kuna hiyo mianya ya kutorosha hizo pesa za serikali nje imezibwa.
 
Nauona umuhimu wa ZZK

Umuhimu upi unaouona wewe wakati wajanja wameisha muingiza mjini na yeye kafungua akaunti huko huko.

Usimsahau na Mbowe pia yumo.

Kumbe kuleta kote hii thread lengo lako ndio hili, tambua umenoa ndugu kwani mwisho wa siku hata kama Mbowe atakuwa kaweka fedha huko watatakiwa wote waeleze walikozipata hapo ndio mtafaruku utakapo anzia kwani wengine wanafedha kuliko umri wao na haijulikana wamezipata wapi.

Wanatamani wakamlambe miguu Zitto.

Zitto kaingia Choo cha KIKE kwani kwa sakata hili hata yeye hachomoki.

Mbowe mavi mbiwilimbwili saiv aka yanagonga ukuta.

Unajifurahisha tu kuandika huu upu-mbavu
 
Ktk maisha yako zungumza yote ila usicheze na serikali wanaweza kuupoteza uhai wako, tuombe sana mtawala abadilike ili tuwe na wafungwa weng wa kutumikia maisha, tukiwatoa akina babu Seya, cdhani kama itakuwa rahc. Mwsho wa yote ktk hii nchi kila jambo linapopigiwa kelele huwa ni tindikali kama utakuwa umejknga zaid bas utaitwa upewe hongo, tujkumbushe kna Chacha, Chifupa, na wengneo. Watu wa tindkal mkumbuke wazir yule wa serikal kuu na yule wazir kvuli alitendewa nin? Na mwsho wa cku kelele zpo?? Kubwa ombeni mkuu wa idara abadlike
 
Umuhimu upi unaouona wewe wakati wajanja wameisha muingiza mjini na yeye kafungua akaunti huko huko.

Kumbe kuleta kote hii thread lengo lako ndio hili, tambua umenoa ndugu kwani mwisho wa siku hata kama Mbowe atakuwa kaweka fedha huko watatakiwa wote waeleze walikozipata hapo ndio mtafaruku utakapo anzia kwani wengine wanafedha kuliko umri wao na haijulikana wamezipata wapi.

Zitto kaingia Choo cha KIKE kwani kwa sakata hili hata yeye hachomoki.

Unajifurahisha tu kuandika huu upu-mbavu

Kamanda mbona jingi? Unajua kwanini Zitto anashughulikiwa na waliomo na wasiomo?
 
Back
Top Bottom