Naiomba serikali yangu sikivu iangalie upya Sera zake maana kule tunaenda kama Sera hazito badilika hali itakuwa mbaya sana.
Ikumbukwe Kwa SASA secta binafsi imepunguza kuajiri na walio kuwepo Wana punguzwa. Na makampuni mengi yanasubiri uchaguzi upite wapunguze watu hiyo sio Siri.
Sera ya ujenzi inauwa secta nyingine za biashara na kuacha watanzania wengi bila ajira au kupunguzwa. Kipimo kizuri cha ukuwaji uchumi ni kila secta Kuwa imara na sio secta moja Tu ina Kuwa imara Yani madini na ujenzi. What about afya, banks,kilimo,uvuvi ,usafirishaji nk.
Mikoa isio Kuwa na ujenz wanaishije? Pesa zote zikae BOt je bank za bihashara Zita create VIP pesa ikiwa pesa yote ikae BOT . Duniani kote hakuna bank isio nufaika na pesa ya serikali na sio nufaika Tu Ila pia kupitia pesa hizo watu wanapata mikopo Rahisi SASA watu wako wamekwambia fungia pesa yote BOT what next? Zile pesa ndogondogo za tozo za halmashauri zote zina ends BOT je watu walikaa nakujuwa side effect ya hili?
Angalieni mmebana matumizi side effect umeharibu purchase power PP ya wananchi Jambo limevuruga mnyororo wote wa bihashara na mwisho kampuni kubwa punguza watu.
Badilisheni Sera watanzania wengi watarudi mtaani na itakuwa kilio kikuu kwetu sote.