Serikali isimamie ujazaji wa mafuta ya ndege hasa hizi ndege zetu kubwa, tunapigwa sana....

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,017
Serikali ikiwa na nia njema kabisa kuliona shirika letu ATCL likiendelea ni wakati muafaka sasa kuweka timu ambayo itakuwa ikisimamia kila uijazazji wa mafuta kwenye ndege.

Baadhi ya magari huwa yanakuja yakiwa na lita kadhaa zishamwagwa sehemu so wanapochomeka kama hutokuwa mwangalifu wanaanzia pale walipoishia na sio 0+

Hali hii hufanya shirika kulipia mafuta mengi ambayo hayajawekwa na hiyo tofauti hujulikana na baadhi ya wanaosimamia naamini mwisho wa safari wanajua wanapata ngapi

Mfano litar zitahitàjika 3500, kwenye tank unakuta zinasoma 300.Wasiporekebisha geji wanaishia kujaziwa 3200 badala ya 3500

Hizi zote hushirikishwa na wahusika wanaosimamia mafuta naamini serikali imejipanga kuona shirika lisirudi nyuma tena na wajitahidi kusimamia sana suala la mafuta ya ndege.
 
Dah ina maana hata ujazaji wa mafuta bado tu hatuwezi kusimamia hadi serikali iingilie kati.

Kweli Hii ndio nchi ya Ahadi.
 
Back
Top Bottom