Serikali Isikurupuke, Rais Kikwete Alisafiri

Mwingereza

JF-Expert Member
Jan 21, 2014
1,110
2,736
Ni aibu kubwa kwa serikali kutoa tamko kupitia MSAJILI WA MAGAZETI kwamba Rais Kikwete hakusafiri kwenda nchi za kiarabu.

Jumamosi tarehe 19/11/2016, Rais Kikwete pamoja na wasaidizi wake kadhaa walipanda ndege ya Emirates kuelekea Dubai. Baadhi ya waliosafiri siku hiyo ni Waziri Mwijage pamoja na Katibu Mkuu Dr. Meru ambao sijui safari yao ilikuwa ikielekea wapi. Binafsi nilikuwa naenda Dubai kikazi na tukawa pamoja na Rais. Iweje msajili wa Gazeti ajitokeze hadharani kubisha?

Hii serikali haiko making kabisa, had kufikia hatua kubisha vito hovyo kama hivi. Kama wasaidizi wa Kikwete hawakuzuiliwa, basi hilo thibitisheni, lakini hakuna cha ubishi kwamba Rais Kikwete hakusafiri. Alisafiri. Serikali irudi kivingine
 
Kama wasaidizi wa Kikwete hawakuzuiliwa, basi hilo thibitisheni, lakini hakuna cha ubishi kwa Rais Kikwete hakusafiri.

Unamaanisha nini sentensi yako ya Mwisho? "...lakini hakuna cha ubishi kwa rais Kikwete hakusafiri...". Sentensi yako ni tata 100%
 
Walichoonywa ni uzushi wa kusema alizuiliwa kwa masaa 8 na ikabidi kughairisha safari. Hapo ndio serikali iliposema taarifa haikuwa ya kweli nilivyolewa mimi. Hata hivyo mimi bado naamini taarifa ya gazeti. Mwingereza
 
Nafikiri hii warning ya serikali ingekuwa kweli hakuna tatizo, Gazeti la Mtanzania angechukuliwa hatua. Ila kwa sababu msemaji katoa viticho bila adhabu yoyote, inaonesha kuwa inajaribu tu kuficha jambo flani.
 
Propaganda tu hizo za kuwatoa watu kwenye hela za maafa ya Kagera inayokwenda kwenye miundo mbinu
 
Mtoa mada hivi hujuwi kwamba Mh. Kikwete kwa sasa ni Rais mstaafu? naona kwenye maandishi yako umeng'ang'ania tu 'rais Kikwete, rais Kikwete', hivi hujuwi kwamba rais wa sasa ni JPM?. Tafadhari jaribu kuwa mtulivu unapoandika mada yako.
 
Mtoa mada hivi hujuwi kwamba Mh. Kikwete kwa sasa ni Rais mstaafu? naona kwenye maandishi yako umeng'ang'ania tu 'rais Kikwete, rais Kikwete', hivi hujuwi kwamba rais wa sasa ni JPM?. Tafadhari jaribu kuwa mtulivu unapoandika mada yako.
Ni heshima yake hadi kaburini. Kwanza bado namuona kama rais vile, maana ni mara 100 bora kuliko Juma Popobawa Maharage
 
Back
Top Bottom